Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 1,157
- 1,983
kwan mpoje ebu weka madin kwa faida ya wote pamoja na wadogo zkoHivi unatuelewa kweli wanawake mkuu?!í ¾í´¨
Kabisa kabisaKwahy tusichezee hii nafasi ya usingle tuliopata au siyo
Kwamba kujitakia matatizo ndio uanaume?Ndoa ni kwa wanaume na si mvulana.
KAZI ni kipimo cha UTU
Tuwaelewe vipi wakati nyie wenyewe hamujielewi? Kama mtu unadanganya umetosheka kumbe haujatosheka sasa unataka ueleweke vipi?.Hivi unatuelewa kweli wanawake mkuu?!🤨
Usiangalie yanayotekea kwenye cycle yako tu angalia takwimu za usajiri wa ndoa na talaka utaona uhalisiaHizi kampeni za kataa ndoa changamsha genge tu nyuma ya keyboard watu wanatu wana ndoa tena imara
Tatizo vijana nao ni kutaka kuowa mwanamke ambaye unataka watu wakuone mjanja mwisho unakutana na Li kaaba linajifanya wife material kumbe fisi. Wanaume wote walio kimbilia wanawake wenye tabia hizi wengi wao sasa wanateseka.
Hizi kampeni za kataa ndoa changamsha genge tu nyuma ya keyboard watu wanatu wana ndoa tena imara
🤣🤣🤣Kwahy tusichezee hii nafasi ya usingle tuliopata au siyo
Usiangalie yanayotekea kwenye cycle yako tu angalia takwimu za usajiri wa ndoa na talaka utaona uhalisia
😂Kusema kweli hatuna ata mpango.
Wanaume tuishi hapa.Women are trouble makers, they don't want peace. Always they look for loopholes to cause problems.