Kama upo single usitamani ndoa

Kama upo single usitamani ndoa

Tatizo vijana nao ni kutaka kuowa mwanamke ambaye unataka watu wakuone mjanja mwisho unakutana na Li kaaba linajifanya wife material kumbe fisi. Wanaume wote walio kimbilia wanawake wenye tabia hizi wengi wao sasa wanateseka.
1.Mwanaume ukijichanganya kwa Hawa wanawake wa rasta za rangi rangi had mgongoni lazima uipate.
2.Wanapenda kuvaa nguo fupi na za Kubana kuonyshe maumbile yao, hapa mwanaume utateseka.
3.Kuowa kwa kuangalia makalio na sura basi hapo mwanaume utakaliwa hasa.
4.Wanawake wapenda starehe na kwenda viwanja.
5.Waliofanikiwa kwenda shule(wasomi)
6.Wenye viburi na wapenda social media tangu wakati wa chumba.
7.zingne malizia.
 
255694002377_status_ffedabf2ea48484987e121fb97712e67.jpg
 

Mnaanza kuingiza imani kwenye facts.

Adam na eva ni story za kidini, story za biblia. Yaani kitabu kilichoandika nyoka anaongea ama punda anaongea. Huku facts ni kwamba nyoka wala punda hawezi kuongea maana hana vocal cords

Dini na facts za sayansi zinapingana

Evidence za kisayansi na Ancient history inaelezea maisha ya binadamu walioishi miaka zaidi ya milions iliyopita.

Adam na eva ni fictional character. Hawajawai kuwepo.

Jiulize kama binadamu wote ni kizazi cha Adam na Eva mbona hatufanani.

Kuna binadamu wahindi

Kuna binadamu wa china

Kuna binadamu weusi wa Africa

Kuna binadamu wazungu

Kuna binadamu waarabu

Je Adam na Eva walikuwa asili gani mpaka wazalishe jamii zote hizo?
4d9f31278451577334f362de2b4ef691.png
 
Kwa hapa tutakuunga mkono..ila nyuma ya keyboard Kila mtu ana jambo lake..Yani experience yako wewe ujumuishe na wengine...!!??, Hell no
 
Tatizo vijana nao ni kutaka kuowa mwanamke ambaye unataka watu wakuone mjanja mwisho unakutana na Li kaaba linajifanya wife material kumbe fisi. Wanaume wote walio kimbilia wanawake wenye tabia hizi wengi wao sasa wanateseka.
Hizi kampeni za kataa ndoa changamsha genge tu nyuma ya keyboard watu wanatu wana ndoa tena imara
1718901701181.jpg
 
Usiangalie yanayotekea kwenye cycle yako tu angalia takwimu za usajiri wa ndoa na talaka utaona uhalisia

Inashangaza kila siku watu wanaoana hata ukifuatilia page za masherehe huko unajiuliza kampeni ya kataa ndoa Jf ni changamsha genge ndoa ni nyingi sana michango ni mingi sana ya harusi


Yaani ni Kama vile ilivyo kuzaliwa na kufa, kila siku watoto wanazaliwa na kila siku watu wanakufa ndio ilivyo ndoa kuna wanaotoka na kuna wengi wanaoingia huko

Huwezi kuishi peke yako maisha yako yote lazima uwe na Ka mtu Ka kukukumbatia usiku kila siku
 
Pole sana,kwahiyo ambao tayari,unatushauri tukimbie hapa tulipo?
 
Back
Top Bottom