Kama urais unatoka kwa Mungu, je, Idi Amin, na maimla wengine nao walitoka kwa huyo Mungu?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
Mara nyingi, utasikia wengi, hasa machawa na kunguni, wakisema eti uongozi hasa urais hutoka kwa Mungu!

Hii ni kwa sababu eti aliandika tapeli Paulo aka Sauli wa Tarso Warumi 13:1. Mlitetemea chawa kama huyu aseme nini wakati naye alikuwa akitafuta riziki kichawa na kitapeli?

Je, madikteta na wauaji kama Idi Amin, Jean-Bedel Bokassa, Joseph-Desire Mobutu, Felix Houphouet-Boigny, Sani Abacha, Muammar Gaddafi, Hastings Kamuzu Banda, Omar Bashir, Yahya Jammeh, Paul Biya, Yoweri Museveni, Paul Kagame Paul Biya, Gnassingbe Eyadema, Idriss Deby, Samuel Kanyon Doe, Robert Mugabe, Denis Sassou-Nguesso, Teodoro Obiang Nguema, Jomo Kenyatta, na wengine nao walitoka kwa Mungu?

Mmoja wetu nimemsaza kwa vile utekaji nao ni uuaji kama wa hao wengine hapo juu. Je, hii ni kwa sababu Mungu ni dikteta au kwa vile hawezi kuja kukanusha haya maneno ya matapeli yanaoitwa yake?
 
Mchongameno ndo aliwaaminisha nyie vilaza kuwa Idd Amin ni mtu mbaya na kwakua nyie ni nyumbu mkakubali
 
Kilaza ni wewe. Sie tulikuwepo. Tulishuhudia hasa tuliokwenda kumchakaza kuanzia Kyaka hadi Koboko zwazwa wewe. Au unataka nikupe hata namba ya battalion yangu zwazwa mkubwa.
 
Mara nyingi, utasikia wengi, hasa machawa na kunguni, wakisema eti uongozi hasa urais hutoka kwa Mungu!

Hii ni kwa sababu eti aliandika tapeli Paulo aka Sauli wa Tarso Warumi 13:1. Mlitetemea chawa kama huyu aseme nini wakati naye alikuwa akitafuta riziki kichawa na kitapeli?

Je, madikteta na wauaji kama Idi Amin, Jean-Bedel Bokassa, Joseph-Desire Mobutu, Felix Houphouet-Boigny, Sani Abacha, Muammar Gaddafi, Hastings Kamuzu Banda, Omar Bashir, Yahya Jammeh, Paul Biya, Yoweri Museveni, Paul Kagame Paul Biya, Gnassingbe Eyadema, Idriss Deby, Samuel Kanyon Doe, Robert Mugabe, Denis Sassou-Nguesso, Teodoro Obiang Nguema, Jomo Kenyatta, na wengine nao walitoka kwa Mungu?

Mmoja wetu nimemsaza kwa vile utekaji nao ni uuaji kama wa hao wengine hapo juu. Je, hii ni kwa sababu Mungu ni dikteta au kwa vile hawezi kuja kukanusha haya maneno ya matapeli yanaoitwa yake?
Hao marais wote uliowaorodhesha ambao hawaku/ambao si marais wazuri ni less than half ya hiyo list na kulinganisha na tyrant regime ya Bi Urojo hao wote wanasubiri, kwa sasa TZ inaongozwa rais shetani, shetani la kike.
 
Kilaza ni wewe. Sie tulikuwepo. Tulishuhudia hasa tuliokwenda kumchakaza kuanzia Kyaka hadi Koboko zwazwa wewe. Au unataka nikupe hata namba ya battalion yangu zwazwa mkubwa.
Wote tunajua wazee wa zamani mlishikwa akili na Mchongameno ili muendele kuwa misukule yake na kweli aliwaweza, ndo aliwadanganya Idi Amin anakula nyama za watu mkawa mnaimba kama nyumbu, msichokijua ni kuwa mlitumika vibaya tu kama toilet paper mkaachwa
 
Back
Top Bottom