Kijana Mtoto
Member
- Feb 2, 2020
- 12
- 60
BravooKuna mwanamke aliwahi kuniandikia message ya hivyo aisee! Ile nimemaliza kuisoma tu, nikavuta pumzi ndefu nikatulia.
Nikampigia simu, nikamuuliza hii message ni ya kwangu au imekosewa kutumwa? Akajibu ni ya kwako. Nikakata na simu bila kuongeza neno. Sikupenda kubembeleza maamuzi yake wala kudadisi.
Baada ya siku nne, nilishangaa kuona sms nyingi za kuomba msamaha, sikujibu hata moja. Alipiga simu kibao na sikupokea kabisa. Nilimfowadia ile sms ya kuachana nikaongeza na sms moja tu " Nimeshapata mwingine ".
Alipokuja kuonana nami, nilimwambia 'usivunje mapenzi na mtu wako kwa ahadi za bwana mpya'. Wengine hatuumii kwa kuachwa bali tunasikitika tena kidogo tu.
Japokuwa tulikuwa tunakulana ila penzi halikunoga tena. Maana sikumuamini tena hata 20%
Sent using Jamii Forums mobile app
We ndo mwamba sasaKuna mwanamke aliwahi kuniandikia message ya hivyo aisee! Ile nimemaliza kuisoma tu, nikavuta pumzi ndefu nikatulia.
Nikampigia simu, nikamuuliza hii message ni ya kwangu au imekosewa kutumwa? Akajibu ni ya kwako. Nikakata na simu bila kuongeza neno. Sikupenda kubembeleza maamuzi yake wala kudadisi.
Baada ya siku nne, nilishangaa kuona sms nyingi za kuomba msamaha, sikujibu hata moja. Alipiga simu kibao na sikupokea kabisa. Nilimfowadia ile sms ya kuachana nikaongeza na sms moja tu " Nimeshapata mwingine ".
Alipokuja kuonana nami, nilimwambia 'usivunje mapenzi na mtu wako kwa ahadi za bwana mpya'. Wengine hatuumii kwa kuachwa bali tunasikitika tena kidogo tu.
Japokuwa tulikuwa tunakulana ila penzi halikunoga tena. Maana sikumuamini tena hata 20%
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah mzee baba upo konki mbaya,,Kuna mwanamke aliwahi kuniandikia message ya hivyo aisee! Ile nimemaliza kuisoma tu, nikavuta pumzi ndefu nikatulia.
Nikampigia simu, nikamuuliza hii message ni ya kwangu au imekosewa kutumwa? Akajibu ni ya kwako. Nikakata na simu bila kuongeza neno. Sikupenda kubembeleza maamuzi yake wala kudadisi.
Baada ya siku nne, nilishangaa kuona sms nyingi za kuomba msamaha, sikujibu hata moja. Alipiga simu kibao na sikupokea kabisa. Nilimfowadia ile sms ya kuachana nikaongeza na sms moja tu " Nimeshapata mwingine ".
Alipokuja kuonana nami, nilimwambia 'usivunje mapenzi na mtu wako kwa ahadi za bwana mpya'. Wengine hatuumii kwa kuachwa bali tunasikitika tena kidogo tu.
Japokuwa tulikuwa tunakulana ila penzi halikunoga tena. Maana sikumuamini tena hata 20%
Sent using Jamii Forums mobile app
Una moyo wa kiume aiseh,,Mimi Kuna manzi mmoja aliniacha kimasihara Sana. Yaani siku iyo alinipigia simu nikamwelekeza nilipokuwa nagonga mtungi. Akaja na jamaa ambaye kwangu alikuwa NI mkubwa kidogo.
Basi wakajoin. Jamaa akawa anasimamia bill zote pale. Mwisho wa siku manzi akaniambia - ujue kawoli hii ndio itakuwa mwisho wa Mimi na wewe kunywa pamoja Kama hivi. Huyu hapa NI Mr T ndio mpenzi wangu mpya nimeona Bora nikutambulishe ili tuachane kwa amani.
Nikaumuuliza tu yule manzi kama Kuna tatizo lolote labda, akajibu Hakuna. Nikamuuliza na Mr T Kama anampenda jwa dhati yule manzi, akajibu Sanaa.
Nikamwambia manzi awe na amani ila Mimi nitakaa Kama miezi sita hivi ndio nitaangalia uwezekano wa kuwa na mahusiano mengine. Ikawa tumeishia hivyo.
Walivokuwa wanaingia kwenye ndinga ya jamaa ili wasepe nikafanya ukauzu kidogo, nikawauliza Sasa mnaniachaje achaje hapa maana ndio kwanza kunaanza kuchangamka.
Basi Mr T kwa mbwembwe akanifata na kunishikisha lakimoja na akaniambia, I have never meet such a nigga in my entire life. Nikamwambia be blessed coz u are lucky to meet me today.
Wakasepa. Ile laki nikaichana yote pale pale na wahuhudumu wa bar. Nikawa Mimi ndio doni.
Nikaja kuonana nae after couple of years akiwa tayari ameshaolewa lkn na mwanaume nwingine sio Mr T, na mm nikiwa kwenye pilika pilika za kuoa. Sikutaka hata kuuliza waliishia wapi kwenye mahusiano yao. Akanichangia elfu70. Maisha yakasonga.
Mimi Kuna manzi mmoja aliniacha kimasihara Sana. Yaani siku iyo alinipigia simu nikamwelekeza nilipokuwa nagonga mtungi. Akaja na jamaa ambaye kwangu alikuwa NI mkubwa kidogo.
Basi wakajoin. Jamaa akawa anasimamia bill zote pale. Mwisho wa siku manzi akaniambia - ujue kawoli hii ndio itakuwa mwisho wa Mimi na wewe kunywa pamoja Kama hivi. Huyu hapa NI Mr T ndio mpenzi wangu mpya nimeona Bora nikutambulishe ili tuachane kwa amani.
Nikaumuuliza tu yule manzi kama Kuna tatizo lolote labda, akajibu Hakuna. Nikamuuliza na Mr T Kama anampenda jwa dhati yule manzi, akajibu Sanaa.
Nikamwambia manzi awe na amani ila Mimi nitakaa Kama miezi sita hivi ndio nitaangalia uwezekano wa kuwa na mahusiano mengine. Ikawa tumeishia hivyo.
Walivokuwa wanaingia kwenye ndinga ya jamaa ili wasepe nikafanya ukauzu kidogo, nikawauliza Sasa mnaniachaje achaje hapa maana ndio kwanza kunaanza kuchangamka.
Basi Mr T kwa mbwembwe akanifata na kunishikisha lakimoja na akaniambia, I have never meet such a nigga in my entire life. Nikamwambia be blessed coz u are lucky to meet me today.
Wakasepa. Ile laki nikaichana yote pale pale na wahuhudumu wa bar. Nikawa Mimi ndio doni.
Nikaja kuonana nae after couple of years akiwa tayari ameshaolewa lkn na mwanaume nwingine sio Mr T, na mm nikiwa kwenye pilika pilika za kuoa. Sikutaka hata kuuliza waliishia wapi kwenye mahusiano yao. Akanichangia elfu70. Maisha yakasonga.
Hahaaa ni jinsi unavyoi-tune akili yako kuchukulia mambo, ie stress management skills
Inategemea, mfano akiwa mkeo unafikiri utamwachilia kirahisi hivyo?Hahaaa ni jinsi unavyoi-tune akili yako kuchukulia mambo, ie stress management skills
Hahaaa ni jinsi unavyoi-tune akili yako kuchukulia mambo, ie stress management skills
dah mimi wangu,alitokea tu akanambia jerry mimi na wewe basi,kuna business nlikuwa nafanya nkamwambia sababu?hakujibu nkazama tu tgo pesa nkampa kama laki 8,maana alikuwa anauza tuviatu na mikoba baada ya hapo sikumtafuta mpka leo,baada ya miaka 5 majuzi ndo anantext whatsapp akachezea tu block,amepiga nkaongea nae then akala block ya 2, inshort mwanamke akishanambia tu mimi na ww basi huwaga sibadili maamuzi na nimiachaga mtu kurudia siwezagi kabisaa
Sent using Jamii Forums mobile app