Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Mimi kuna manzi nilidumu naye miaka 5 hadi mama yake alikuwa ananikubari kinoma yani. Sasa kuna muda tukatengana ila tukaja rudiana kama baada ya miezi mitatu na alinitafuta mwenyewe lakini tulivyorudiana yani alikuwa kama nimekutana na mtu mpya.
Alikuwa ka undego total transformation kuanzia taste ya vitu alikuwa anapenda vitu vya gharma kinoma, akawa hana adabu hata kidogo, mgomvi balaa.
Akawa amekuja tukaishi kama mwezi sitosahau ndipo nilielewaa kwanini kuna wanaume wakitoka kazini wanaishia bar nyumbani wanaenda kulala. Demu alinifanyia vituko sijapata ona.
Alipoondoka akarudi kwao, ndipo tukaendelea kuwasiliana kumbe akiwa huko ana mtu ila mimi nikawa nishasoma mchezo maana mapenzi hayajificha na hizo whatsapp status nikawa nasoma kinachoendelea.
Kuna siku nillimpost binamu yako kama whatsapp profile pic nikamuwish bday. Ghafla napokea video toka kwa huyo bidada kumbe yuko na jamaa sijui wanavishana pete ehe na akanipiga block whatsapp.
Sikuwahi kumtafuta wala kumuuliza chochote nikapiga kimya.
Sikuwahi mfuatilia namba zake nikafuta ikaniuma kinoma lakini sikuwahi thubutu mtafta ila nikawa tu kuna jamaa yangu kila nikikutana naye ananipa habari zake mimi nikamwambia babu sitaki kujua habari zake we kama unamfuatilia mfuatilie wewe mimi sitaki sikia habari zake.
Ikapita miezi nane, nashangaa siku moja napokea msg mambo, namba siijuui kuicheck mpesa nikakuta jina lake nikaipotezea, ikapita kama week tatu ikatuma tena msg nikajibu akauliza we ni flani nikajibu ndiyo, akasema nimekumiss sana yani. Nikamjiu mimi nipo tu. Nikachat naye kawaidatu sikuwahi kumuuliza yuko wapi wala nini tulipomaliza na chip nikaivunja.
siku hizi kila siku anatuma email maana anafahamu email zangu sizjibu.