Kama ushawahi kuachwa kihivi, njoo utupe mkasa

Duuuh kweli malipo ni hapa hapa duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo tukusaidie nn? Ila we jamaa boya sana mwanaume unaachana na Mwanamke unamrudia tena hafu unakuja kulalamika
 
Aisee..13 years..Mm ndio kwanza nafukuzia mwaka wa 6.
Ndio maana hua sion haja ya ku celebrate yearlly anniversaries like wengi wanafanya maana ndoa hizi dakika 0 tu chaliiii
 
Kuna kipindi dem alinitext "kuanzia leo tuachane" sikumjibu wala nn.

zikapita wiki kama mbili hivi kumbe alikuwa na kibwana chake kimechoka ile mbaya, akaona hana anachokipata kwa jamaa akarudi kwangu na kujiombesha msamaha, namuangalia tu naona kama ananizingua.

Anajipigisha magiti kuomba msamaha vilio vingi vya kinafki vikazidi.

Nilichokifanya kuna dem ambae huwa tunachat ambae ni rafiki yake nikamtext akaja nikamtambulisha mbele yake.

Dem alizimia nikampepea alipoamka nikamwambia kuanzia leo sikutaki."

Sent using Jamii Forums mobile app
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa una roho mbaya


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…