Kama utani nimenasa kwa Mama mtu mzima

Hilo sasa ndio lishangazi, 45 vs 29 imekaa poa sana. Kama kila mtu yuko huru, furahieni maisha...ila kama ni mke wa mtu nakushauri uache. Hapo Mbezi last week kuna njemba imemegwa, imeliwa na kuchakazwa....kisa ni kutembea na mama mmoja wa age go kama wako.
 
Sijui nimewaza nini ila kijana unafwaidii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…