Kama utani nimenasa kwa Mama mtu mzima

Kama utani nimenasa kwa Mama mtu mzima

Shetani amekutumia brother kumtoa huyu mama kwenye njia ya wokovu. Hii ni fundisho jinsi shetani anamnyemelea mtu wa Mungu mpaka kuanguka kwenye dhambi kwa kupemda raha ya mda mfupi. Mungu akutane na huyu mama aweze kutubu na kurudi kwenye njia ya Bwana kabla mauti haijanfika. Kweli nimeuzunika sana maana huyu mama anapoteza mana aliyopewa . Kuwa mlokole ni vita anyway kunahitajika msaada wa Mungu ili uweze kushinda sababu shetani ni mdanganyifu sana na ni baba wa ungo (Yohana 8:44 Ninyi ni watoto wa baba yenu shetani,, kwa hiyo mnapenda kufanya maovu kama yeye. Tangu mwanzo yeye alikuwa muuaji. Shetani anadanganya kwa kuwa yeye ni mwongo na ni baba wa uongo.)
 
kwa hyo mimi ni shetani Mkuu .
 
Back
Top Bottom