haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 1,572
- 3,863
Dada angu amechukua sura ya baba, mimi nimechukua sura ya mama, dada angu sio mbaya, hapana, ila tu hua inaonekana kama nimemzidi uzuri, watu wanasema mbona dada ako umemzidi uzuri.
Kuna muda ndio nawaza, kama uzuri ungekua unagaiwa, ningempunguzia dada angu ili watu waache kusema sana kuhusu uzuri wake.
Sema ndio hivyo, kuna vitu haviwezi kubadilika.
Kuna muda ndio nawaza, kama uzuri ungekua unagaiwa, ningempunguzia dada angu ili watu waache kusema sana kuhusu uzuri wake.
Sema ndio hivyo, kuna vitu haviwezi kubadilika.