Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Nina file mahali liko labeled JF, kila mtu ana PDF lake, subiri ujichanganye uone 😂Mnatunza mafaili 😳
Hovyo sana 🤦♀️ ni dhahiri yuko sokoni anatangaza biashara yake.Huu ni mchicha mwiba wa wazi kabisa,naona amekosa mla mboga,ndio maana kila siku anajipitisha JF huku anatutingishia makalio yake.