Kama uzuri ingekua unagaiwa, ningempunguzua dada angu

N
Dada angu amechukua sura ya baba, mimi nimechukua sura ya mama, dada angu sio mbaya, hapana, ila tu hua inaonekana kama nimemzidi uzuri, watu wanasema mbona dada ako umemzidi uzuri.
kuna muda ndio nawaza, kama uzuri ungekua unagaiwa, ningempunguzia dada angu ili watu waache kusema sana kuhusu uzuri wake.
sema ndio hivyo, kuna vitu haviwezi kubadilika.
Nicheki pm
 
🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐👋👋👋👋
 
Kuna muda ndio nawaza, kama uzuri ungekua unagaiwa, ningempunguzia dada angu ili watu waache kusema sana kuhusu uzuri wake.

Sema ndio hivyo, kuna vitu haviwezi kubadilika.
Wacha uwongo wewe. weka sura yako hapa.
 
Back
Top Bottom