Ukiwa unaenda kwa shemeji yetu uwe unaenda nae kama nyongeza kwa mwanaume wakoDada angu amechukua sura ya baba, mimi nimechukua sura ya mama, dada angu sio mbaya, hapana, ila tu hua inaonekana kama nimemzidi uzuri, watu wanasema mbona dada ako umemzidi uzuri.
kuna muda ndio nawaza, kama uzuri ungekua unagaiwa, ningempunguzia dada angu ili watu waache kusema sana kuhusu uzuri wake.
sema ndio hivyo, kuna vitu haviwezi kubadilika.
🙌🙌🙌 aibu naona mimiWale watu wanaochukua nyeti za Wanaume,waje waichukue hii huku,imeenda kwa mtu wrong.
uzi bila pichaDada angu amechukua sura ya baba, mimi nimechukua sura ya mama, dada angu sio mbaya, hapana, ila tu hua inaonekana kama nimemzidi uzuri, watu wanasema mbona dada ako umemzidi uzuri.
kuna muda ndio nawaza, kama uzuri ungekua unagaiwa, ningempunguzia dada angu ili watu waache kusema sana kuhusu uzuri wake.
sema ndio hivyo, kuna vitu haviwezi kubadilika.
Huyu ashikwe bega kweliWale watu wanaochukua nyeti za Wanaume,waje waichukue hii huku,imeenda kwa mtu wrong.
Uzuri wenyewe ndiyo huu👇au kuna mwingine?Dada angu amechukua sura ya baba, mimi nimechukua sura ya mama, dada angu sio mbaya, hapana, ila tu hua inaonekana kama nimemzidi uzuri, watu wanasema mbona dada ako umemzidi uzuri.
kuna muda ndio nawaza, kama uzuri ungekua unagaiwa, ningempunguzia dada angu ili watu waache kusema sana kuhusu uzuri wake.
sema ndio hivyo, kuna vitu haviwezi kubadilika.
Mnatunza mafaili 😳
Huu ni mchicha mwiba wa wazi kabisa,naona amekosa mla mboga,ndio maana kila siku anajipitisha JF huku anatutingishia makalio yake.