I feel good
JF-Expert Member
- Oct 21, 2016
- 1,773
- 3,215
Nicheki pmDada angu amechukua sura ya baba, mimi nimechukua sura ya mama, dada angu sio mbaya, hapana, ila tu hua inaonekana kama nimemzidi uzuri, watu wanasema mbona dada ako umemzidi uzuri.
kuna muda ndio nawaza, kama uzuri ungekua unagaiwa, ningempunguzia dada angu ili watu waache kusema sana kuhusu uzuri wake.
sema ndio hivyo, kuna vitu haviwezi kubadilika.
🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐👋👋👋👋Dada angu amechukua sura ya baba, mimi nimechukua sura ya mama, dada angu sio mbaya, hapana, ila tu hua inaonekana kama nimemzidi uzuri, watu wanasema mbona dada ako umemzidi uzuri.
kuna muda ndio nawaza, kama uzuri ungekua unagaiwa, ningempunguzia dada angu ili watu waache kusema sana kuhusu uzuri wake.
sema ndio hivyo, kuna vitu haviwezi kubadilika.
Watu Wawe Care Ndogo Zitapasuliwa ChapHuu ni mchicha mwiba wa wazi kabisa,naona amekosa mla mboga,ndio maana kila siku anajipitisha JF huku anatutingishia makalio yake.
Beautiful OnyinyeKwaio we jamaa ni beautiful eeeh
Mejiii? [emoji23][emoji23][emoji23]we demu una vimbwanga, hebu tulia
Viva atletico Madrid 🔥Mejiii? [emoji23][emoji23][emoji23]
Daah Barca chaliii, [emoji23][emoji23][emoji23]Viva atletico Madrid [emoji91]
Li timu lako hilo 😂😅Daah Barca chaliii, [emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha uwongo wewe. weka sura yako hapa.Dada angu amechukua sura ya baba, mimi nimechukua sura ya mama, dada angu sio mbaya, hapana, ila tu hua inaonekana kama nimemzidi uzuri, watu wanasema mbona dada ako umemzidi uzuri.
Kuna muda ndio nawaza, kama uzuri ungekua unagaiwa, ningempunguzia dada angu ili watu waache kusema sana kuhusu uzuri wake.
Sema ndio hivyo, kuna vitu haviwezi kubadilika.
Niachee, [emoji23][emoji23][emoji23]Li timu lako hilo [emoji23][emoji28]