Kama uzuri wa sura, umbo, ngozi na mguu ndiyo vigezo vyako muhimu kwa kuoa basi umepotea sana

Kama uzuri wa sura, umbo, ngozi na mguu ndiyo vigezo vyako muhimu kwa kuoa basi umepotea sana

the power

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
407
Reaction score
799
I know you got me, you heard me correctly! Ndio ukweli hata kama utakataa, chunguza magonjwa ya kurithisha kama kifafa, ukichaa katika familia ya mrembo, chunguza uwepo wa historia ya uchawi na ulonzi ndani ya familia ya mrembo, Angalia kwa makini vitu vibaya vingine vya kurithisha.

Kibaya zaidi vijana wengi hatuangalia historia ya IQ ndogo au akili ndogo toka kwenye familia ya binti au binti mwenyewe hata kama binti ana figure namba nane, sura ya cleopatra, weupe damu ya mtume , mguu wa chupa etc utajikuta unazalishiwa mitoto borgus , hata kama utawapeleka shule zipi, utaipa malezi mazuri kiasi gani utaishia kusikitishwa na umbumbu wa mitoto. Kwa taarifa za kisayansi mama anacontribute more than 60-70 % of IQ ya mtoto. chunguza familia zinazokuzunguka utakubaliana na mimi

Nakwambia ukizaa mbumbu ni trauma kwenye familia, itaendelea kuku-hunt kila siku, wazazi wengi huwa na furaha pale watoto wao wanapoonyesha uwezo mzuri wa akili na kufikiri, hicho ni kiashiria muhimu kwenye furaha ya familia. Unaweza ukafikiri kuzaa watoto weupe ndio chanzo cha furaha, mabinti wenye figure nambanane ni furaha , uko sawa ila wakiwa punguani wataishia kuwa mabaa -medi au warembo tunaokutana nao clubs na vilabu mbali days and night mbali ya wewe kutumia mamilioni ya pesa kuwapeleka shule na kuwaelimisha. Nakwambia ni majuto mabaya sana.

Najua umesikia na umeona kwenye familia zinazokuzunguka, au ndugu zako. Je wewe unawashauri vipi vijana wetu. Kumbuka baadhi ya vigezo hivi vinawahusu pia akina dada wakitafuta wenza, kama ni dada husiangalie uhandosome, six- packs, nenda mbali utanishukuru sana kesho
 
Utasikia tu majirani wakiongea mkuu
Kitu ambacho wewe hujajua ni kwamba uchawi unaweza ukawepo kwenye familia ya muoaji yaani wewe na usijue kwamba mama yako mchawi, Mi naandika from experience.

kupima IQ kazi sana kwa hilo. Boss wangu Engineer mzuri tu,mtoto wake wa kiume wa kwanza amekuwa mganga wa kienyeji/ tibs asilia wa pili yuko vizuri.
 
2 KOR 9:7

Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake....
 
Ni kweli tunaangalia roho (spritual) ya msichana kama kigezo kikuu cha kuchagua mchumba wa kuoa, hofu ya Mungu iwepo ndani yake.... ila laah, aisee lazima na ka sura kawepo wepo kamguu na ka msondo walau akivaa kataulo mkiwa chumbani basi useme yesss.
 
Mkuu ukioa angalia mambo ya muhimu tabia,hofu ya Mungu,kupendezwa na mhusika.Haya ndiyo ya muhimu kwanza hayo mengine aangalia kama utaweza kuishi nayo kama ugonjwa kilema nk.Watoto wanatoka kwa Mungu wawe weupe weusi wenye akili ,wasio na akili.Hivyo usioe kwa matarajio naoa huyu nipate watoto wenye akili anaweza akawa binti aliye very bright darasani akikuzalia mtoto mwenye uelewa mdogo,mlemavu au mwenye changamoto ya akili utafanyaje?
 
Unaweza kuzaa hata huyo mwenye IQ akauliwa nk kesi ngapi umesikia kijana very bright anagraduate leo kesho kafa,au kapata kazi kampuni kubwa duniani kauliwa nk usijiweke matarajio kwenye haya maisha nakuhakikishia utakuja kuumia baadae maishani .Oa huyo binti kwa sababu umempenda lkn sio kwa sababu una matarajio atakuzalia watoto wenye IQ kubwa,siku akizaa kichaa utamuacha?
 
Kitu ambacho wewe hujajua ni kwamba uchawi unaweza ukawepo kwenye familia ya muoaji yaani wewe na usijue kwamba mama yako mchawi, Mi naandika from experience.

kupima IQ kazi sana kwa hilo. Boss wangu Engineer mzuri tu,mtoto wake wa kiume wa kwanza amekuwa mganga wa kienyeji/ tibs asilia wa pili yuko vizuri.
Lakini lazima fununu ziwepo
 
Lakini lazima fununu ziwepo
Mkuu kama hujaoa nakupa pole, na kama umeoa na unadhani uko smart kwa wachawi unajidanganya na hujui kitu. Wachawi ni genge hatari na familia chache sana ziko free.

Inabidi nifunguke kidogo ili watu wengine wasiingie mkenge. Mimi mama (RIH) yangu alikuwa mchawi hiyo ni " rot in Hell".

Matatizo niliyopata hakuna sababu ya kuweka hapa.

Kilichonisaidia ni mimi kuwa mlokole na kuoa mke mlokole wa kumaanisha.
Sasa Mama alipokuja kuwanga kama kawaida yake siku hiyo yeye alimuona yaani walionana macho kwa macho.
Ila shida ataniambiaje mimi kwa mama mkwe mchawi. Ilichukua muda sana. Mimi na jirani yangu kulikuwa na kutoelewana ķuhusu mpaka na ikafika hatuongei mwaka mzima.
Sasa rafiki yake wife akaniambia anaeniletea matatizo ni mama yangu sio huyo jirani. Sikukubali wala kukataa. Niliamua kufuatilia kimya kimya.

Sasa mama alikuwa anakaa mbali na sisi, ila akija nyumbani lazima amchukue binti yangu anaenda nae kuoga. Yaani wanaoga wote uchi bafu moja. Mi nilikuwa sijui nakuwa kazini. Ndipo wife akanitonya kinachoendelea.

Mimi nilienda kwa wakubwa ambao hawamjui mama na nikatoa stori kama mhusika sio mimi wala faimilia yangu kutaka ushauri. Nikaambiwa huyo mama yangu sababu ameshakuwa mtu mzima alikuwa anatafuta mrithi. Hivyo mtoto mdogo akishazoea wakubwa kuwa uchi baadae akienda nae hatashangaa.

Sio hivyo tu alipata mama matatizo mengine ilibidi aende kwa siri kwa mganga alipelekwa na rafiki yake ambae sio mchawi. Akaja akagombana na huyo rafiki yake akimtishia kumpeleka polisi kwa wizi, kumbe aliyeiba ni ndg yake mama.
Sasa huyo rafiki yake ndio akatoa stori kwamba mganga alimwambia mama kwamba ajibu maswali ya ramli kama ni kweli ndio apate tiba.
Baadhi ya maswali ni pamoja na kula nyama za watu na viungo vya albino, ambapo mama alikubali.

Naishia hapo ila niko Free sasa mchawi mama ameshakufa.

Hakuna cha fununu mkuu.

Ila baada ya kushindwa kunitoa kafara ilibidi afe yeye mwenyewe kabla hajafa alimjia wife kwenye ndoto kumuaga kwamba anakufa. Wife baada ya kuota ile ndoto alimwendea mama nyumbani kwake na kumuambia ameota anamuaga. Mama akajibu ni kweli atak7fa muda sio mrefu.

Mama alikufa muda mfupi baada ya kuanguka akitokea chooni.

Kaa vizuri na Mungu wako Mkuu from experience ni vigumu kuwakwepa hawa watu. Tatizo wanaloga kote kote.
 
Back
Top Bottom