The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Ndio nani huyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya jibu swali lake sasa, hayakai milele?
Inategemeana na Dr aliye kufanyia, kumpata Professional ni gharama na wenyewe wana standard zao za ujazo kwa kila kalio. Ila MDr wa Black Market wao hawana hizo standard,wana ongeza tu as long umewapa hela.Haya jibu swali lake sasa, hayakai milele?
Kumbe matakwoh ndo yanakua kama jipu lililojaa
Ila akili si wanazo?Ila shida zote hizi mmezitaka wanaume na demands zenu,wanawake wanahangaika sana.
Watumie akili zao kwenye kufanya maamuzi kwa ajili ya maisha yao.Ila shida zote hizi mmezitaka wanaume na demands zenu,wanawake wanahangaika sana.
Inategemeana na Dr aliye kufanyia, kumpata Professional ni gharama na wenyewe wana standard zao za ujazo kwa kila kalio. Ila MDr wa Black Market wao hawana hizo standard,wana ongeza tu as long umewapa hela.
Acha basi kutudanganya..?Wacha tubaki na flat zetu, kwanza ni mizigo hiyo ukizeeka
Basi ndo hivo tena..[emoji848] duh!! Sa itakuaje.
Kwisha habari yakeBasi ndo hivo tena..
Daah yaani, hadi huruma!Kwisha habari yake
Duh[emoji848]acha tuone watakavyokua yetu machoKuna documentary nilikuwa na itizama National Geographic, hizi surgery zikifanywa na madaktari wa kuungaunga ni too risks.
Ila dada zetu hawa sikii na hawambiwi.Kuna dada mmoja yeye nae anabonge la shape,ila lilikuwa limeanza kutengeneza rangi ya brown,yy aliandika mpaka kitabu cha hayo madhara na akawa ana watembelea wasichana wanaotaka kuongeza makalio na kuwasihi wasijaribu hiko kitu.
Mwengine nae alikuwa analipwa kwa zile appearance kwenye maclub nae likianza tako lilianza kubadilika rangi ,bahati nzuri wali muwahi wakaondoa matoxic yote kwenye makalio.
Nakumbuka miaka ya nyuma Maria Sarungi alikuwa na kipindi chake kinaitwa Changamoto, kuna mdada mmoja alimwalika kwenye kipindi chake nae anabonge la tako ,mpaka limekuwa kelo na anasikia maumivu kwenye mgongo.
Nasikia dada zangu siku hizi wanakimbilia Uturuki, sasa huko hao madaktari ni certified au ndio mafundi Maiko. Manake wasiwaige akina Kardashian wale wenzao wanaenda kwa maproffessional na hela wanayo.