Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
Mbona limeisha kama vera sadikaDada kalipunguze na wewe.
Wadogo zetu Math na hiyo kitu wanashindwa kuchagua kabisa.
#Kama mko wawili🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona limeisha kama vera sadikaDada kalipunguze na wewe.
Wadogo zetu Math na hiyo kitu wanashindwa kuchagua kabisa.
#Kama mko wawili🤣🤣
Akili wazitoe wapi sasa.Watumie akili zao kwenye kufanya maamuzi kwa ajili ya maisha yao.
Kuna documentary nilikuwa na itizama National Geographic, hizi surgery zikifanywa na madaktari wa kuungaunga ni too risks.
Ila dada zetu hawa sikii na hawambiwi.Kuna dada mmoja yeye nae anabonge la shape,ila lilikuwa limeanza kutengeneza rangi ya brown,yy aliandika mpaka kitabu cha hayo madhara na akawa ana watembelea wasichana wanaotaka kuongeza makalio na kuwasihi wasijaribu hiko kitu.
Mwengine nae alikuwa analipwa kwa zile appearance kwenye maclub nae likianza tako lilianza kubadilika rangi ,bahati nzuri wali muwahi wakaondoa matoxic yote kwenye makalio.
Nakumbuka miaka ya nyuma Maria Sarungi alikuwa na kipindi chake kinaitwa Changamoto, kuna mdada mmoja alimwalika kwenye kipindi chake nae anabonge la tako ,mpaka limekuwa kelo na anasikia maumivu kwenye mgongo.
Nasikia dada zangu siku hizi wanakimbilia Uturuki, sasa huko hao madaktari ni certified au ndio mafundi Maiko. Manake wasiwaige akina Kardashian wale wenzao wanaenda kwa maproffessional na hela wanayo.
Dah!Alikuwa anaitetemesha roho yangu kumbe ni fekero aka jakubumba?SONY WEGA!Umenikumbusha matangazo ya Michael Jackson miaka ileee!😂😂😂😂SONY WEGA.
Waambie hao wanaojibadili maumbile wengine tuko full nondo.Insecurity zenu.
Sio za wanaume
Kuna watu wabishi mnoo!Hebu "tufanzie" kutuwekea picha hata moja tu na macho yetu yapone.🤔🤔Waambie hao wanaojibadili maumbile wengine tuko full nondo.
Mwanamke akizaa kunatokea maajabu mengi sana mfano mweupe wa kujichubua huwa anarudi kwenye black colour yake 🤣🤣🤣Naye yasije kumpata yaliyompata Vera[emoji28]
Ila Vera anasema ni moja ya complications alizopata baaday ya kujifungua...
Sijui kwanini nimekuwa mgumu sana kuamini kama hii kitu ni kweli.
Usiniambie, khloe kumbe lile sio tako lake 😭😭😭 dah mie nilikuwa nampenda sana yule mrembo...lamah alikuwa anakojolea pazuri sanaKweli...And mimi nimependa their new looks.They look natural.
Unakumbuka Khloe na lile tako jamani? Ila now naona kalitoa now and she looks slender and beautiful
Wadau ndo tunatakiwa tuyapende mana ndo tuna kazi nayo, wewe sasa uyapende ya Nini labda uyapende tu kama assetKweli tunatofautiana ..Mimi nilivyo sipendi makalio makubwa In general sipendi mwili mkubwa
Tupe IG handler yake Tukaone kama yaliyomo yamoYaani nina ndugu yangu mmoja ana tako Vera akasome.
Wakati mpaka amemaliza chuo kikuu tako hana sema ana mahipsi tu.
Kila nikikutana namuuliza we hili tako umetoa wapi?
Ananiambia amerithi kutoka kwa marehemu bibi yake mzaa baba.
Ila mimi najua ni dizaini ya kina Vera sababu anapenda sana wasanii.
Wasanii wenyewe wanamdanga badala ya yeye awadange.
Anapenda kuwa na jina mjini.
Tako lina uhusiano gani na mwili mkubwa?Kweli tunatofautiana ..Mimi nilivyo sipendi makalio makubwa In general sipendi mwili mkubwa
Nipe namba yake nina shida na ilo tako lake[emoji848][emoji848][emoji848]Aaaaa wapi hajayapatia.
Ana kazi ya kuyarekodi makalio whatsapp na instagram.
Huyo ni mke au changudoa!?Mkewangu ana Mavi..
hahahahaMchina imeisha muda wake, mwili umerudi kwenye factory setting[emoji2]