Kama Vera Sidika kawa hivi, mpango ushafeli

Kama Vera Sidika kawa hivi, mpango ushafeli

Aisee!
Kuna documentary nilikuwa na itizama National Geographic, hizi surgery zikifanywa na madaktari wa kuungaunga ni too risks.

Ila dada zetu hawa sikii na hawambiwi.Kuna dada mmoja yeye nae anabonge la shape,ila lilikuwa limeanza kutengeneza rangi ya brown,yy aliandika mpaka kitabu cha hayo madhara na akawa ana watembelea wasichana wanaotaka kuongeza makalio na kuwasihi wasijaribu hiko kitu.

Mwengine nae alikuwa analipwa kwa zile appearance kwenye maclub nae likianza tako lilianza kubadilika rangi ,bahati nzuri wali muwahi wakaondoa matoxic yote kwenye makalio.

Nakumbuka miaka ya nyuma Maria Sarungi alikuwa na kipindi chake kinaitwa Changamoto, kuna mdada mmoja alimwalika kwenye kipindi chake nae anabonge la tako ,mpaka limekuwa kelo na anasikia maumivu kwenye mgongo.

Nasikia dada zangu siku hizi wanakimbilia Uturuki, sasa huko hao madaktari ni certified au ndio mafundi Maiko. Manake wasiwaige akina Kardashian wale wenzao wanaenda kwa maproffessional na hela wanayo.
 
Wanawake wa kiAfrika hawaambiliki kamwe.Sioni haha ya kuwashauri kuhusu madhara ya plastic suggeries.
 
Tulisemaje...ilikua kiki ile. Mambo hayo apo. She has a new song
 
Naye yasije kumpata yaliyompata Vera[emoji28]

Ila Vera anasema ni moja ya complications alizopata baaday ya kujifungua...

Sijui kwanini nimekuwa mgumu sana kuamini kama hii kitu ni kweli.
Mwanamke akizaa kunatokea maajabu mengi sana mfano mweupe wa kujichubua huwa anarudi kwenye black colour yake 🤣🤣🤣
 
Kweli...And mimi nimependa their new looks.They look natural.

Unakumbuka Khloe na lile tako jamani? Ila now naona kalitoa now and she looks slender and beautiful
Usiniambie, khloe kumbe lile sio tako lake 😭😭😭 dah mie nilikuwa nampenda sana yule mrembo...lamah alikuwa anakojolea pazuri sana
 
Ilikua kiki ya kutoa wimbo na wimbo kauachia jana rakini mpaka sasa view zimemgomea kabisa

Kuhusu msabwanda uko palepale haujatolewa


Yudaexalioth
jamiiforums
Geita
 
Yaani nina ndugu yangu mmoja ana tako Vera akasome.
Wakati mpaka amemaliza chuo kikuu tako hana sema ana mahipsi tu.
Kila nikikutana namuuliza we hili tako umetoa wapi?
Ananiambia amerithi kutoka kwa marehemu bibi yake mzaa baba.
Ila mimi najua ni dizaini ya kina Vera sababu anapenda sana wasanii.
Wasanii wenyewe wanamdanga badala ya yeye awadange.
Anapenda kuwa na jina mjini.
Tupe IG handler yake Tukaone kama yaliyomo yamo
 
Aaaaa wapi hajayapatia.
Ana kazi ya kuyarekodi makalio whatsapp na instagram.
Nipe namba yake nina shida na ilo tako lake[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom