Kama Viongozi wa Chama Cha Upinzani wenyewe ndo hawa akina NTOBI.. CCM kutoka Madarakani sio rahisi

Kama Viongozi wa Chama Cha Upinzani wenyewe ndo hawa akina NTOBI.. CCM kutoka Madarakani sio rahisi

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
Huyu ni kiongozi wa CHADEMA anaeneza uzushi ambao sijui lengolake ni lipi

kBjdA7uo_mini.jpg

NTOBI

@Ntobi_
·
14h
Kumekucha! Air Tanganyika

Image
 
Na hapo atapata wajinga wenzie, watachukua hiyo picha na kwenda kubishana vijiweni na kwenye magrupu ya WhatsApp huko. Wakikamatwa kwa kusambaza taarifa za uzushi wakina Mwabu wanaitisha maandamano. Hii jamii ni ya hovyo sana kuwahi kutokea.
 
Mbona kesha pata wajinga wenzake wengi

Maria Sarungi Tsehai

@MariaSTsehai
·
5h

Wapendwa nashukuru waungwana walinishtua kuwa hii picha inayozunguka ni fake Nimefuta post yangu na kumradhi !Tuendelee na harakati ila tusilishane tango pori Asanteni
 
Back
Top Bottom