Na hapo atapata wajinga wenzie, watachukua hiyo picha na kwenda kubishana vijiweni na kwenye magrupu ya WhatsApp huko. Wakikamatwa kwa kusambaza taarifa za uzushi wakina Mwabu wanaitisha maandamano. Hii jamii ni ya hovyo sana kuwahi kutokea.

Wapendwa nashukuru waungwana walinishtua kuwa hii picha inayozunguka ni fake Nimefuta post yangu na kumradhi !Tuendelee na harakati ila tusilishane tango pori Asanteni