Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Rais ni taasisi na ndivyo ninavyoamini.
Hakuna washauri wakuona madhara yakukanyaga katiba iliyopo huku inayodaiwa nayo haionyeshi mwelekeo.
Kwahiyo wewe ni machozi wa katiba mpya ilhali mimi ni machozi wa katiba ya sasa?Umeanza kwa kujitetea kuhusu uchochezi,ila kwa mtazamo ulijua nia yako ya kuchochea kutokuikubali katiba mpya, hivyo kwa vigezo vyangu wewe ni mchochezi kama wengine.
Ubovu uliopo unawapa mwanya huo.Kwa afrika katiba inategemea na kiongozi aliyopo madarakani...
Tanzania nadhani mwenge umefanya yake vichwani mwa wananchiMbona South Africa wanaweza? Cha mhimu katiba iseme , kiongozi atakaye ikanyaga awajibishwe vipi hata baada ya kuachia madaraka wangeogopa. Hii iliyopo wamejiwekea kinga za kutoshiyakiwa ndo maana wanafanya watakalo
Mpendwa katiba mpya ipo, tena ndani ya awamu ya 6.Kwa hakika itachukua miaka mingi kupata katiba pendwa.
Watatumia katiba hii kuzuia ujio wa katiba mpya
Wafuasi wa chadema wamechoma moto ofisi ya kata huko mkoani Songwe.Kwa afrika katiba inategemea na kiongozi aliyopo madarakani...