Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Habari!
Hii mada haina uhusiano na uchochezi.
Watanzania ni vyema tukapigania utawala wa haki na misingi ya katiba tuliyonayo kabla hatujaisaka katiba mpya. Kama tuna viongozi ambao kwa mamlaka yao wanaweza kuigalagaza katiba hadharani itasaidia vipi katiba mpya?
Katiba inaruhusu mikutano ya hadhara na mtu mmoja anatumia authority yake kuzuia kwasababu zisizo na nguvu.
Ni vyema tuipiganie katiba hii kwanza kabla ya kuomba nyingine.
Maana watatumia katiba hii tuliyonayo na mamlaka waliyonayo kuizuia katiba mpya.