Kama viongozi wenyewe ndio hawa wenye mamlaka ya kuzuia au kuruhusu jambo ambo katiba imeruhusu hamna umuhimu wa katiba mpya

Kama viongozi wenyewe ndio hawa wenye mamlaka ya kuzuia au kuruhusu jambo ambo katiba imeruhusu hamna umuhimu wa katiba mpya

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Habari!

Hii mada haina uhusiano na uchochezi.

Watanzania ni vyema tukapigania utawala wa haki na misingi ya katiba tuliyonayo kabla hatujaisaka katiba mpya. Kama tuna viongozi ambao kwa mamlaka yao wanaweza kuigalagaza katiba hadharani itasaidia vipi katiba mpya?

Katiba inaruhusu mikutano ya hadhara na mtu mmoja anatumia authority yake kuzuia kwasababu zisizo na nguvu.

Ni vyema tuipiganie katiba hii kwanza kabla ya kuomba nyingine.

Maana watatumia katiba hii tuliyonayo na mamlaka waliyonayo kuizuia katiba mpya.
 
..naunga mkono katiba mpya.

..sidhani kama kuunga mkono katiba mpya kunazuia kudai haki zetu kwa mujibu wa katiba hii iliyopo.
 
Rais ni taasisi na ndivyo ninavyoamini.
Hakuna washauri wakuona madhara yakukanyaga katiba iliyopo huku inayodaiwa nayo haionyeshi mwelekeo.
 
Kwa hakika itachukua miaka mingi kupata katiba pendwa.
Watatumia katiba hii kuzuia ujio wa katiba mpya
Rais ni taasisi na ndivyo ninavyoamini.
Hakuna washauri wakuona madhara yakukanyaga katiba iliyopo huku inayodaiwa nayo haionyeshi mwelekeo.
 
Umeanza kwa kujitetea kuhusu uchochezi,ila kwa mtazamo ulijua nia yako ya kuchochea kutokuikubali katiba mpya, hivyo kwa vigezo vyangu wewe ni mchochezi kama wengine.
 
Umeanza kwa kujitetea kuhusu uchochezi,ila kwa mtazamo ulijua nia yako ya kuchochea kutokuikubali katiba mpya, hivyo kwa vigezo vyangu wewe ni mchochezi kama wengine.
Kwahiyo wewe ni machozi wa katiba mpya ilhali mimi ni machozi wa katiba ya sasa?
 
Kwa afrika katiba inategemea na kiongozi aliyopo madarakani...
 
Mbona South Africa wanaweza? Cha mhimu katiba iseme , kiongozi atakaye ikanyaga awajibishwe vipi hata baada ya kuachia madaraka wangeogopa. Hii iliyopo wamejiwekea kinga za kutoshiyakiwa ndo maana wanafanya watakalo
 
Tanzania nadhani mwenge umefanya yake vichwani mwa wananchi
 
Back
Top Bottom