Kama vyama vya upinzani visipoweka balance ya kidini kwenye vyama vyao visahau kuja kuitoa CCM

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
11,884
Reaction score
21,175
Pamoja na uhovyo wao CCM Kuna kitu kimoja wamefanya vizuri sana. Kubalance suala la dini kwenye chama chao. Watu wa dini zote wanaweza kujiona ni Wana CCM bila tatizo. Nchi yetu ni ya kipekee sana. Wakati mataifa mengi ya kiafrika Yana siasa za ukabila na ukanda sisi hilo hatuna. Ila Kuna mizani karibu sawa ya dini. Hata wanazuoni wa nje wanasema ulitaka kuisambaratisha Tz chokonoa udini.

CCM wameona hii ishu ya udini na wameiweka vizuri japo si rasmi. Awamu hii kiongozi wa dini hii, Ile wa dini Ile. Na kwenye ngazi za chama na teuzi wanajitahidi kubalance.

Tofauti vyama vya upinzani. CUF ilikuwa na nguvu lakini ilishindwa kubalance ishu ya udini. Ikawa na weak spot ya kupigwa. CDM Wana sera mzuri na watu makini lakini walishindwa balance ishu ya udini.

Chama kikikubalika na watu wote kinakuwa na nguvu hata siyo rahisi kukisambaratisha au kukipora achaguzi. Vinginevyo, kinakuwa dhaifu. Vyama vya upinzani vinatakiwa visolve huu udhaifu kwa dhati.
 
Kwa hiyo kwenye teuzi za ubunge watakuwa wana balance wagombea kwa udini??
 
CCM ndio chama cha kidini kupitiliza, mwenyekiti wake MamaSamia2025 ambaye ni Mwislam, amekuwa akivunja kanisa, kufungia makanisa na kuwanyima Wakristo haki yao ya kuabudu huku akiwapiga mabomu na viboko.
MamaSamia2025 amelaaniwa, na hii laana ya kumwaga damu za watu wasio na hatia itakila kizazi chake. Kwake misiba ya watoto na wajukuu kuuawa havitakauka, Hadi pale atakapotubu
 
Umeshapanic tayari!!

Siasa Afrika ni mchezo tu hakuna reality, relax.

Ukiwa serious na siasa Bongo presha na kisukari kinakuhusu.
 
Kwa hiyo kwenu ni sawa tu kumwaga damu za watu wasio na hatia ili tu kukidhi kiu yenu ya mafanikio ya kisiasa? Mnasema Uislam ni dini ya haki 😅 ni haki Gani hiyo?
 
Pamoja na uhovyo wao CCM Kuna kitu kimoja wamefanya vizuri sana. Kubalance suala la dini kwenye chama chao. Watu wa dini zote wanaweza kujiona ni Wana CCM bila tatizo. Nchi yetu ni ya kipekee sana. Wakati mataifa mengi ya kiafrika Yana siasa za ukabila na ukanda sisi hilo hatuna. Ila Kuna mizani karibu sawa ya dini. Hata wanazuoni wa nje wanasema ulitaka kuisambaratisha Tz chokonoa udini.

CCM wameona hii ishu ya udini na wameiweka vizuri japo si rasmi. Awamu hii kiongozi wa dini hii, Ile wa dini Ile. Na kwenye ngazi za chama na teuzi wanajitahidi kubalance.

Tofauti vyama vya upinzani. CUF ilikuwa na nguvu lakini ilishindwa kubalance ishu ya udini. Ikawa na weak spot ya kupigwa. CDM Wana sera mzuri na watu makini lakini walishindwa balance ishu ya udini.

Chama kikikubalika na watu wote kinakuwa na nguvu hata siyo rahisi kukisambaratisha au kukipora achaguzi. Vinginevyo, kinakuwa dhaifu. Vyama vya upinzani vinatakiwa visolve huu udhaifu kwa dhati.
Huo ndio uhalisia ila kwa ujinga wa cdm wanakataa kuona kama wana tatizo la udini na ndio maana hawataweza kuitoa ccm hata siku moja, wanajisumbua tu na no refos zao baada ya october watu wote wanasahau, lissu anarudi zake ubelgiji na sisi tunaendelea kutafuta riziki zetu , hizi kelele ni mihemuko ya muda tu
 
Back
Top Bottom