Hao wananchi watz watadanganywa na propaganda za vyombo vya habari kuwa mambo Safi wakati wanakula mlo mmoja
Nikupe historia kidogo
Mwaka 1958 wakati wa mkoloni Tanu ilijitanua nchi nzima hakukuwa na radio, tv Wala wasap, ilikuwa Ni Kama uhaini kujiunga na Tanu kwa harakati za kudai uhuru, Kama ilivyo Sasa awamu hii
Tanu ilishindwa viti vingi, ikapelekea mwaka 1961 mkoloni akakubali kuachia nchi bila kupenda
Dogo historia itajirudia mwaka huu
Wanaogopa sindano za moto. Je unampo mskiliza kiongozi toka kwenye serikali ya CCM akisema wapinza wanaotaka kugombea kiti cha Urais na ubunge wanataka kuiuza nchi kwa mabeberu, wakati vyombo vyote vya usalama vinawsikiliza waoWanasema wanazuia taharuki dhidi ya maneno makali ya wapinzani
Huna lolote bali ni uoga ulio kutawala, jiandae kisaikolojia maana cdm ndiyo chama tawalaYangu macho
Siyo ndogo ni kubwa sana mkuu sasa hivi vyombo vya habari vimelazimika kupiga bongo fleva tu vikibadili sana ni kumsifu mkuu.
Tuliwaambia chadema wahakikishe wanarecord mikutano yao ya kampeni wawe wanasambaza audios mbali mbali kwa watu maana vyombo vya habari vimelazimishwa kutokuwatangaza.
Kwa sheria ya vyombo vya habari iliyopo na kanuni zake hatuna tena vyombo vya habari badala yake vimelazimika kuwa mouthpiece ya serikali.Ningepata ushahidi wa hili ningefurahi sana
Kwa sheria ya vyombo vya habari iliyopo na kanuni zake hatuna tena vyombo vya habari badala yake vimelazimika kuwa mouthpiece ya serikali.
Fuatilia vipindi vya habari vingi muda wote vinapiga bongo fleva tu hata vipindi vya kijamii havina nafasi tena.
Haihitaji kuona kwenye TV kuwa maisha yako yameshuka kiwango hivyo chama tawala kimeshindwa.
Haihitaji kuona kwenye TV kuwa wewe kijana serikali imeshindwa kukupa ajira au kuwezesha sekta binafsi kuajiri.
Haihitaji TV au Radio kujua kuwa serikali imekuonea wewe au ndugu yako kwa kumfukuza kazi na kunyimwa mafao eti vyeti bandia (wakati sio cheti bandia ila majina tifauti).
Yako mengi, na hakuna asiyejua hadi kijijini jinsi serikali ya ccm inavyobinya Uhuru wa habari ili watu wasijue ukweli
Watanzania walio at the grassroot level watajuaje sera za wengine kama vyombo vyote vya habari vimeunga mkono juhudi za mgombea wa chama kimoja?Chadema haita pigiwa kura na vyombo vya habari bali itapigiwa kurs na Watanzania.
Hizi ni akili za kipimbi. Nafikiri wewe endelea kutangaza vifo vya corona tu!Haihitaji kuona kwenye TV kuwa maisha yako yameshuka kiwango hivyo chama tawala kimeshindwa.
Haihitaji kuona kwenye TV kuwa wewe kijana serikali imeshindwa kukupa ajira au kuwezesha sekta binafsi kuajiri.
Haihitaji TV au Radio kujua kuwa serikali imekuonea wewe au ndugu yako kwa kumfukuza kazi na kunyimwa mafao eti vyeti bandia (wakati sio cheti bandia ila majina tifauti).
Yako mengi, na hakuna asiyejua hadi kijijini jinsi serikali ya ccm inavyobinya Uhuru wa habari ili watu wasijue ukweli
Atakuja ngoja tusubiri..
Vyombo vya habari viliamaua kujiua vyenyewe baada ya kukubali kuletewa sheria mbovu.Kuna haja ya kuvinusuru vyombo vya habari kutoka kwenye adha hii ili visipoteze hadhi zake.
Itv Ni sufurulia unalolitumia nyumbani kwako??Vyombo vya habari vyote vimechukia uhuni mliowafanyia Tbc.