Uchaguzi 2020 Kama Vyombo vya Habari vitaendelea kufanya hivi, CHADEMA Ikulu itakuwa ni ndoto

D
Delete ccm Oct 28
 
Kwa dakika 45 tu alizozipata Lisu Jana pale ITV kwangu mimi tayari nishajua kura yangu nitampa nani. Ova
 
Mura, swali lako la mwisho kabla hujaanza maelezo ndiyo hoja hapo.

U communist hautaisaidia nchi hii labda Ccm yenyewe. U communist haujawahi kuitoa nchi yoyote mrisi zaidi ya uzalendo uchwara. Nchi inaenda kwenye uchaguzi mkuu , huku maelekezo ya nini kifanyike kikiwa kikwazo kwa washindani wa Ccm.

Huku NEC nayo ikiwa haina meno.
 
Tunafukuza mbwa hatufukuzi waandishi wa habari ...upo??
Duh, huu ni ukweli ambao nilikuwa sijaubaini. Ni kweli, mbwa hata kama unamfuga nyumbani huwezi kukubaki akufuate msikitini.
Tabia za TBC ni za mbwa, tena yule koko
 
Ungewashauri hao nyumbu, samahani nisiwaite nyumbu leo nisema wanacdm nk waungeUNGA juhudi za JPM mapema ili wasipoteza rasilimali fedha Na muda.

Hata wewe nafasi unayo
 
Waliwafukuza waandishi wa habari,waacheni wale jeuri zao na hizo bangi zao
 
Cdm haitaki waandishi wa habari. Wakienda wanafukuzwa kama mbwa. Sasa hata wewe utaenda kweli kwenye mikutano ya cdm?.

Kwa mujibu wao wanadai hao waliofukuzwa hawaweki content zote
 
Maoni murua. Mimi naona sababu kubwa ya vyombo vya habari kutorusha habari za upinzani ni hofu na mashinikizo kutoka upande wa CCM na serikali yake. Walishatamka wazi kuwa hawawezi kutoka madarakani wakiwa wanamilki vyombo vya dola. Ina maana kuwa watatumia vyombo vya dola kubaki madarakani milele. Vyombo vya habari huru siku hizi siyo huru tena. Vinaogopa kufungiwa au kupigwa faini kubwa. Liko wapi Tanzania Daima, liko wapi Mwanahalisi, n.k.?
 
Waliwafukuza waandishi wa habari,waacheni wale jeuri zao na hizo bangi zao
Tule jeuri yetu kvp wkt tunafanikiwa kujaza viwanja bila waandishi uchwara.? Tunafukuza mbwa kwenye mikutano yetu hatufukuzi waandishi wa habari
 
Nyie maccm chukueni vyombo vyote vya habari,
Chukueni kila kitu
Hela zenu tutakula
Kofia zenu tutazivaa lakini kura zetu mtazisikia kwenu bomba , shenz zenu.
 
Kaka kama wanakuja tena kwa gharama zao tena kwa makubaliano chini ya kamati ya mawasiliano ya kitaifa anawapa dakika 15 waondoke, chombo gani kitacover mikutano na sera zako? Mchaw wa haya wanamjua . Umoja wa vyombo hvyo umeita chadema kuomba radhi lakini hadi leo bado hawajafanya hivyo. Kwa mazingira hayo hayo vyombo vingine Havana uhakika na usalama wa waandish wao na vyombo vyao huko chadema ndyo maana wanakwenda Kule wanakokuona kuko salama. Tena kumbuka maslahi ya kwanza ya vyombo vya habar ni usalama wa waandishi na vyombo vyao
 

Unadhani hizo hatua watazichukua wapi na katika mazingira gani kama serikali ndiyo anaviminya?
 
Upinzani ni muhimu uwepo ila sasa nao wajipange ili tuwe na upinzani wenye nguvu na hoja na kusimamisha viongozi wanaoaminika ili siku za usoni wachike dollar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…