Je, kama taratibu za kuwafukuza hazijafuatwa mpaka sasa?Kama kusoma hujui, huwezi hata kuangalia picha? Mbona inajulikana kuwa kwa mujibu wa katika hawa si wabunge tena! Amesema msekwa. Kinacho tokea ni mwendelezo wa kuelezea kuwa nchi inaendeshwa kidikiteta. Na hili linatuvua nguo kama nchi, ni aibu.
Natamani CHADEMA waonyeshe hadharani barua ya kuwafukuza uwanachama hao wabunge 19 waliyoipeleka kwa Spika na Tume ya Uchaguzi.Je kama taratibu za kuwafukuza hazijafuatwa mpaka sasa?
Kauli ya spika mpaka sasa ni wabunge halali. Jambo ambalo linaloonyesha hawajafukuzwa kihalali au taratibu hazijafuatwa.Natamani CHADEMA waonyeshe hadharani barua ya kuwafukuza uwanachama hao wabunge 19 waliyoipeleka kwa Spika na Tume ya Uchaguzi. Kauli ya Mwenyekiti Mbowe kua milango ya kuomba radhi ipo wazi inawezekana maana yake ni kwamba Chama hakitapeleka barua kwenye vyombo husika mpaka kwanza ili kuona kama watakuja kuomba radhi. Wakishapeleka barua hakuna tena ku reverse maamuzi
Ina maana huyo Ndugai yupo juu ya Katiba ya nchi?Je, pamoja na kuwavua uanachama hawa akina mama 19 bado ni wabunge halali? Mbona Spika bado anawatambua?
Hapana mkuu, nadhani Spika Ndugai anajua anachokifanya. Naamini kuna taratibu CHADEMA hawajazikamilisha na sidhani kama ni bahati mbaya au hawajuiIna maana huyo ndugai yupo juu ya Katiba ya nchi?!!!
CHADEMAHapana mkuu, nadhani Spika Ndugai anajua anachokifanya. Naamini kuna taratibu CHADEMA hawajazikamilisha na sidhani kama ni bahati mbaya au hawajui
CCM walipomvua Sophia Simba uanachama walifungua kesi mahakamani ili kumvua ubunge?Sipika aliwaambia kama wana nia ya kuwatoa hao wabunge basi waende mahakamani ili mahakama itengue
CHADEMA kama chama, mahakamani waende kufanya nini wakati wamefanya maamuzi kikatiba ya kuwavua uanachama? Hapo COVID-19 ndio waende mahakamani kupinga kuvuliwa uanachama.Chadema wanajua tabia ya wafuasi wao kuwa hawatumii akiri sawasawa,
Sipika aliwaambia kama wana nia ya kuwatoa hao wabunge basi waende mahakamani ili mahakama itengue, la pili wapitie tume, lakini pia walitakiwa kuandikia bunge barua ya kuwafukuza ubunge, ila wamekaa kimya na kuanza kupokea ruzuku.
Sasa mashabiki watabaki wanatangatanga wasione mlango wa kuingia kama vipofu.
Huyo ndo master mbowe bhana.
Hazira kama hizi ndio zinawapatia maumivu.
Sio kweli bosi, katiba ni sheria mama.Hapo kisicho na meno ni katiba. CHADEMA wameshawafukuza kwa upande wao wamemaliza. Ni juu ya wengine kuangalia katiba inasema nini ambalo sio jukumu la CHADEMA. Post hii umeamua kuileta na Id hii, ile mpya iko likizo?
Wapuuzi Wachache Wapo Busy JF kuropoka tuUkitaka kujua CHADEMA ni wasanii, ruzuku yao ya November wameshachukua, nyumbu endeleeni kupiga mayowe tu, ndio maana Ndugai anapata nguvu sana.
Rudi kwenu Mwandiga uwasaidie wazee wako, badala ya kushinda hapo Lumumba ukiuza kashataWapuuzi Wachache Wapo Busy JF kuropoka tu