Kama Wabunge wote walioapishwa na Spika ni halali; Je, Kamati Kuu ya CHADEMA haina meno?

Kamati kuu haina shida na ubunge
So wameamua kuwaachia tu
 
pamoja na hayo mabeberu wanaendelea kujipendekeza kutoa misaada....dah nchi yangui tamu sana
 
Ungeonyesha hekima zaidi kama kabla ya kuanza kupayuka ungeenda ofisi za bunge kutafuta uthibitisho kuwa hawajapokea (hiyo) barua toka CHADEMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…