Kama wanajadili waziwazi namna ya kukwapua Mali ya Umma, ni dhahiri walimchukia na hawakupenda hayati Magufuli awepo. Inaonekana aliwabana sana!

Exactly this is how you are. Great!!
 
Sasa mama anamwaambia kabisa .... " Tatizo lenu mnakula Hadi mnavimbiwa..... Kuleni kidogo kidogo mtosheke...." Kwenye semina ya mawaziri.....

Hii nchi hii........ Dah
 
I'll try to focus ili discussion iwe na maana zaidi, sababu hoja ni nyingi na hatuwezi zijadili zote kwa upana on a single reply, so let's focus kwenye suala la IQ likiisha then tutaendelea na hoja zingine if you're interested..

Nitaanza na hii statement ila niwe focused kwenye arguments zangu

"Genetically I strongly believe we are the same or even better kuliko wazungu, sababu literature zinasema we have evolved to have a better immune system kuliko wazungu, it's a fact hata kwaku observe tu covid inawasumbua kuliko sisi, mafua yanawamalianza kuliko sisi ....moreover, IQ variation ya mweusi na mzungu ipo kwenye mazingira, nutrition, brain stimuli and extra curricular ( the culture of learning)"

Je wazungu wanatuzidi IQ? I would say yes, but not because of genetic reasons, but other reasons which am going to elaborate, sita focus kwenye genetics sababu it is highly variable across races, nations, tribes, hata ndugu tu mnaweza tofautiana sn intellectually sharing the same parents.

Wazungu na watu wa Asia walijua Siri ya nutrition kabla yetu na bado sisi uelewa wetu ni mdogo sana kama jamii, acha na wasomi wachache, chakula chetu ni wanga kwa kiasi kikubwa, it's a fact mahindi yanaliwa na jamii ya watz kwa kiasi kikubwa kuliko mtama, au uwele, I understand the nutritional profile, binafsi nakula ugali wa mtama....

Jaribu kuelewa vitu kwa upana, nikiposema ugali I assumed unajua ni ugali wa mahindi kwa kiasi kikubwa ndio chakula Cha watz.

Ugali wa mahindi una nutritional profile kidogo sana, Tena akila mama mjamzito as the main food anakuwa kwenye disadvantage ya ku limit intellectual develp ya mtoto, brain is made of FAT, DHA, ALA, LA, most importantly DHA, for a well functional brain lazima mama mjamzito apate DHA,

Kuna study nyingi sana kuhusu DHA, na watafiti wengi wana relate IQ kubwa ya wajapan kula sn samaki, as the saying goes "you are what you eat"

Mama mjamzito anahitaji vyakula vya protein to build a healthy and strong baby, hauwezi kubisha unless otherwise you're arguing for the sake of arguing that we Africans hatuli vyakula vya protein sababu ni expensive, watoto wengi wako malnourished, thus impacting their cognitive ability later in life, kitu kibaya zaidi we don't have a culture to develop the executive functions za watoto at an early age.

Kwa kumaliza hoja ya wazungu kwamba tuna low IQ is strikingly true..but the reasons for that sikubaliani nao that we are genetically engineered to have a low IQ,
 
Umekazania sana ugali. hata uwe wa mahindi, nakwambia hayo mahindi yanaliwa Ulaya, hayo mahindi yanaliwa India, hayo mahindi yanaliwa America. Tanzania tunaweza kula mahindi kwa kuyapika, au kutengeneza ugali. Kwa taarifa yako nutrients ni zile zile.
Mzungu akila mahindi yalochemshwa, au yalochomwa nawe ukapika ugali, nutrients ni zile zile. Elewa ndugu yangu, usidharau uafrica kisa ugali.
Wazungu wanakula sana nafaka. Hivi mikate inatokana na nini? Ni kupe siri tu! Tembelea shule zilizo na mchanganyiko wa waafrica na wazungu. Chunguza matokeo kama ujaambiwa black wanaongoza.
Wanaijeria wanakula ugali hata huko Ulaya, na kuna maduka ya Kiafrica. But nijeria bado wako na akili kubwa tu. Na sasa wanawasubua wazungu kwa kuiba kwa mitandao. Ukiwauliza wanaijeria kwanini wanafanya hivyo, wanakwambia wazungu waliwatawala babu zetu, wakachukua mengi toka Africa sasa tunalipiza kisasi.

Na kila siku wanawaliza wazungu, wazungu wameshindwa kuwazuia hao unaodai wana IQ kubwa. Wanaijeria wanakula ugali. Hizo akili wametoa wapi?

Unakubali unakula ugali wa mtama. Sasa unalaumu ugali wa nini! Na nina amini unaakili nzuri tu pamoja unakula ugali. Nyerere amelelewa kwa ugali wa Mtama na ulezi. Lakini alikuwa na akili hadi wazungu wanajiuliza. Tumekuwa na viongozi mashuhuri wamelelewa kwa ugali. Chenge amesoma Havard University, na kwao Bariadi wanakula sana ugali tena ule mgumu. Hivi kama ugali unaleta IQ ndogo angeweza kwenda hiko chuo?
Swala si ugali, nutrients za kwenye ugali ndo hizo unazipata katika mahindi wanayo kula huko china, Wanayo kula huko Ulaya. nadhani unajua American Gadern Product. Wana corn, ambayo ni mahindi kwenye mikebe yanalika sana. Na mengine ni maalum kwa kuchoma. Elewa ndugu yangu.

Haya maswala ya maendeleo, ni kutokuwa na uzalendo na kutekeleza mipango tunayojiwekea. Rushwa kuwa ndo msingi mkuu wa watu wengi. Ni ngumu kupata maendeleo. Siyo IQ kama unavyodhani.

Ingekuwa IQ, Japan China, India na hata Ulaya miaka ya 60 walikuwa maskini wa kutupwa. Kwani walikuwa hawali vyakula wanavyokula?
Sipo kubishana kuonekana nani ni mshindi. Ila sikubaliani na hoja yako kwamba nchi za Kusini mwa jangwa la sahara ni masikini kisa zina LOW IQ. Nakukatalia. Nimekupa mifano mingi, lakini umekalia ugali.

Kuna kanisa moja nimesali hapo Ulaya. Linamchanganyiko wa kila mataifa, Wazungu, Wakorea, Wajapan, walatino, wahindi, waafrika na wengineo. Uwa wanapika kanisani kila tunapokutana. Wanaijeria ikifika zamu yao wanapika Ugali. Na wazungu wengi upenda na mara nyingi wanapendekeza wanaijeria wapike ugali wao wanaita fufu. Nilishawahi kupata mwaliko kwa mzungu mmoja alie waalika rafiki na ndugu kuja kula ugali.
Huyu mzungu alizaliwa na kukulia Africa. Waliishi Iringa, na anasema walikula ugali kwa wingi. Na yeye alipenda sana ugali. Hivyo kila siku alikula ugali. Aliporudi Ulaya alijitahidi kupika ugali japo anasema alikuwa haoni kama unakuwa mzuri kama ule unaopikwa na watanzania. Ndo maana alinialika. Siku hiyo kulikuwa na watu kama Ishirini hivi wameharikwa. Nilipika ugali wa mahindi, kila mtu alipenda.

Wakapendekeza tuwe na special day ya kula ugali, na mihogo yaani tropical food. Huyu ndugu anafanya kazi katika moja ya vinu vya nyuklia vinavyozalisha umeme. Ni mtaalamu sana na anaakili. Alizaliwa na kulelewa Tanzania, alipenda ugali. hata ulaya leo bado anakula ugali. Angekuwa na IQ ndogo asingeweza kufanya kazi katika hiyo sekta ya nyuklia. Tumepanga siku moja anakuja Tanzania kujitolea kufanya mradi fulani wa vijana. I wish ningekukutanisha nae. Lakini niachie hapa. Endelea kuamini unacho amini nami nitaamini navyo amini.
Sijaona akili ya za watu kupungua kula ugali. Kuna maduka mengi yanauza unga wa mahindi.
 
Alizuia mianya ya zamani akaibua mianya mipya ila upigaji ulikua uleule.

Tena hio wa magu ulichagizwa na dhulma .
 

Angalia hesabu, taifa litajijenga kwa namna hii?
 
Yuko mbwa mmoja alijipambanua kuwa mpigania haki miaka ile siku hizi kaunga juhudi za kuhalalisha upigaji. KIGOGO 2014 ni mbwa koko.
 
Exactly
 
Watu wanakula mpaka wanavimbiwa kwenye hii serikali ya mpito. Wanataka kukomba kila kitu kabla hakujakucha.
 
Ujinga mtupu.
Akili duni kama hizi zako ndizo zilizojaa bara la Africa.
 
Hamna aliyejadili kukwapua mali hadharani, vinginevyo watakuwa na shida. Watu mnajaribu ku-force tafsiri zenu kwa wengine wakati kila mtu ana akili yake. Na la Magu, pamoja na mazuri na mabaya yake, lakini lakulazimisha kupendwa au glorification kwake nalo sio sahihi. Mwacheni apumzike.
 
 
Mwendazake alikuwa jizi kuliko hawa wote combined..
Acha ujinga.
 
 
Sisi Watanzania tusipoiba tunaugua Maleria.
 
Ugali wa sembe ni tatizo kubwa, hauna faida yoyote kwa afya ya binadamu.Pia haiwezekani asubuhi unakula chai ya rangi na vitumbua, mchana unakula sembe na mchicha, usiku sinia la wali na nyama vipande viwili halafu akili yako ikafanya kazi, hususani kama huu mlo wako ulikuwa wa aina hii tangu udogoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…