Kama wanajadili waziwazi namna ya kukwapua Mali ya Umma, ni dhahiri walimchukia na hawakupenda hayati Magufuli awepo. Inaonekana aliwabana sana!

Kwa mujibu wa taarifa ya CAG ufisadi ktk awamu ya 5 ulikithiri kuliko awamu zilizopita.

Ktk awamu hiyo kuna watumishi wa serikali na umma walikuwa majambazi wa kutumia silaha na wahujumu uchumi.

Leo hii unakuja na ngonjera eti watu walimchukia kiongozi wa awamu hiyo kisa hakutaka ufisadi?
Utakuwa umerogwa wewe siyo bure.

CAG wote wakupangwa waseme makufuli aliiba
 
Kumbe ukitaka uchukiwe na wanaCcm basi we ziba mianya yao ya kuiba mali ya umma.

Hayati JPM alichukiwa na wanaCcm japokuwa walicheka nae na kumzunguka hio hii ni sababu aliwabana sana juu ya rushwa na ufisadi.

Sasa wanatoa michongo namna ya kupiga madili.

Naona tangu amefariki wanachekelea tu na kukenua meno

Huyu huyu aliyekuwa anatuambia hakuna shida kumpa askari 5000 ya kubrush kiatu?
 
Kumbe ukitaka uchukiwe na wanaCcm basi we ziba mianya yao ya kuiba mali ya umma.

Hayati JPM alichukiwa na wanaCcm japokuwa walicheka nae na kumzunguka hio hii ni sababu aliwabana sana juu ya rushwa na ufisadi.

Sasa wanatoa michongo namna ya kupiga madili.

Naona tangu amefariki wanachekelea tu na kukenua meno
Nashaur chuma kirudi au nasema uongo ndugu yang!
 
Kwahiyo kina Sabaya na genge lao wanasingiziwa?
Wewe kuna siku anawaambia wasaidizi wake live tena mbele ya camera,kuwa wakwapue Mali za umma,ila wasivimbiwe.Huyu Sio rais ni kinyago tu kiko Ikuru.
 
It suffices to say so, you don't make policies or political decisions that affects millions of people, but believe me, we need every brain we can have to influence changes, at your local level, even how you raise your kids can be of huge impact in the society.

I tell you my friend sio kwamba hatuna best brains kabisa amidst our society! Politics of this country zinakatisha tamaa mno ! And am not saying kwamba I have yielded [emoji1487] but in my view I represent quite a chunk of folks who don’t see any more a window to exercise expertise and tangible contribution towards shaping the future of our next generation! I am a father of four and making sure my children are brought up into becoming decent individuals law abiding and contribute to their nation positively

Hao hao races zingine na hasa wazungu, having known our low IQ so to speak are the ones trading on our ignorance! Fueling conflicts around the African continent even today ! Look at what France have been doing in west Africa francophone countries ! Terrible crimes ! See what is happening in Congo DRC ! Absolute haulage of mineral resources! Now this COVID-19 who knows ? May be a failed mission to wipe out Africans ! Tutaponaje sasa ?

Mikataba ya kipumbavu kabisa hata kufikia kukabidhi sehemu za nchi zetu kwa wawekezaji kijinga kabisa ! Is this also an effect of low IQ ? It is a combination of many factors both endogenous and exogenous very frustrating especially when you know that our technocrats, law makers and the likes know all too well the impact of such stupid actions to the coming generation! Debt burdens! “Tutakopa tuu” anasema Hangaya akijua fika effects of debt trap na mifano iko bayana kwa nchi za Jirani !

Anyways let us keep hope alive making sure our children are taught patriotism at local individual level and in schools may be the future will be different! Mungu atusaidie.
 
Super smart 💯💥
I wish this kind of thinking would make half of our highest political spectrum and population.
 
Kwa mujibu wa taarifa ya CAG ufisadi ktk awamu ya 5 ulikithiri kuliko awamu zilizopita.

Ktk awamu hiyo kuna watumishi wa serikali na umma walikuwa majambazi wa kutumia silaha na wahujumu uchumi.

Leo hii unakuja na ngonjera eti watu walimchukia kiongozi wa awamu hiyo kisa hakutaka ufisadi?
Utakuwa umerogwa wewe siyo bure.
CAG? Yupi? Report ya mwaka gani?
 
Kwahiyo kina Sabaya na genge lao wanasingiziwa?
Wewe kuna siku hata moja ,Magufuri anawaambia wasaidizi wake live tena mbele ya camera,kuwa wakwapue Mali za umma,ila wasivimbiwe. Hata huyo Sabaya unayemsema alijificha kwenye utendaji, Mara ngapi tulimwona Magufuri akitengua watendaji Wake live , wananchi walipokuwa wakilalamika?Huyu Sio rais ni kinyago tu kiko Ikuru.
 
Wacha kutetea upumbavu
 
Jaribu basi kuwa na heshima kwa taasisi ya urais wacha maneno ya kashifa.

Usidhani kwa kutumia ID fake ndiyo upo salama.

Unaweza kujikuta unalia na kusaga meno
 
Kuna literature jana nilikuwa nasoma, wanasema hao wazungu IQ ya African on average ni ,,65" which is below normal, na sio literature moja, multiple studies, wanasema IQ ya aina hiyo deserves to be classified as "retarded"

..., Asians (Japanese, Chinese, etc, not all Asians) have the highest IQ scores bcz they have bigger brains unlike us, they have evolved bigger brains sababu ya nutrition, they eat a lot of fatty fish, unlike our nutrition "ugali" which the literature says it makes people "stupid"

60 years of independence, let's reflect comparatively with what other races in the world have achieved. My prediction in the next 50 years with the same trajectory politically and economically tutakuwa na matatizo beyond comprehension. Kutakuwa na crimes and social dysfunction ya kutisha.

Tunazaliana kwa Kasi, mfumo wa elimu duni usiozalisha wanasayansi with obvious reasons, mtu kapata div 3 ndio anaenda kuwa mwalimu, garbage in, garbage out, mazingira kila siku tunaharibu, miji yetu inajengwa holela, what do you expect in the next 50 years? Miracles?

"Now 77 percent of Japanese children have a higher IQ than the average American or European, Lynn said. The increase shows up in 6-year-olds, so it may not be a result of superior schooling, Lynn said. "The explanation probably lies largely in environmental improvements" such as health and nutrition"

"The scientists point out that the average African IQ is currently comparable to the average level in the Netherlands around 1950. However, IQ scores in Western countries have risen sharply over the course of the 20th century".

"In an oft-quoted literature study conducted in 2006, Lynn concluded that black Africans have an average IQ of less than 70 (compared to an average western IQ of 100). Lynn suggested that these low IQs are indicative of a low intelligence level, claiming this offered an explanation for the low level of economic development in sub-Saharan countries".

Mtasoma zaidi ambao mko interested, literature zipo kibao na yanayoongelewa huko kwa ufupi sisi watu weusi ni kama sio binadamu wa kawaida. Reflecting on what is going on in Sub-Saharan, who would argue differently? Mmepata resource flani wanachukua mjinga mmoja ana sign mkataba resources inahama kwenda kufaidisha vizazi vyao. Huyo mjinga mmoja anakenua familia yake kula damu za mamillioni ya watz watakao kufa kwa umasikini, tuna shida kubwa vichwani.

"This is why the Japanese and Asians are famous for being intelligent. They lead a totally different lifestyle, practicing omotenashi, being humble, polite and thinking about others instead of yourself"
Unadhani kila kinachoandikwa na mzungu au Asian basi ni kweli sahihi? Shida ni kuwaabudu wazungu. Ati unadai mtu alie pata division three kuwa mwalimu haifai. Unadhani Ulaya na Asia wanao kuwa walimu wana grade ya juu. Daaah! Sidhani kama umefanya utafiti wa kutosha. Nikuombe fanya utafiti wa walimu shuleni huko Ulaya unakosifia ujionee.

Swala la kuzaa unadhani ujinga, je hujui hao wa Asia ndo wanaozaliana saana na wako mabilioni. Kwa sasa wazungu kwao wanasisitiza kuzaa, na hakuna programme au NGO za kuzuia watu wasizae kama walizotuletea huku Africa. Japan sasa wanahaha kusisitiza watu wazaliane. Na ukizaa watoto wengi serikali inakusaidia kukupa ruzuku.

Umeongea uchafuzi wa mazingira ati Africa tunaharibu mazingira. Hivi umefanya utafiti kweli? Au unaona hao wazungu na wasia ni miungu watu? China, Japan, India, Ulaya na America ndio zinazoongoza kwa uchafuzi wa mazingira. Wameharibu mazingira ya dunia hii. Nenda China, India imefikia mahala watu wanavaa barakoa kwa sababu ya uchafuzi wa mazingira.

Umeongelea vyakula, ati waafrica wanakula ugali hivyo hawana akili. Si kweli kwamba ugali unaliwa katika nchi zote za Africa. Na hata kwa Tanzania pia si kweli kwamba sehemu zote za nchi asili ya chakula chao ni ugali. Muulize masai kama hata anajua kupika ugali. Nenda Bukoba ujionee na sehemu zinginezo. Nenda Ethiopia waulize kama ugali wanaufahamu na nchi nyingine nyingi. Pia elewa kiini cha katikati cha mahindi ni lishe nzuri sana. Ulaya wanakula sana mahindi yanakuwa katika kopo. Na wakati mwingine wanachoma mahindi. Kuhusu ulaji wa samaki, nenda kanda ya ziwa watu wanavyokula samaki, hadi utashangaa. Si wajapan tu wala samaki kama unavyodhani.

Mwafrika anaogopwa na dunia nzima. Ni tishio! Na wanakili kuwa tunaakili. Uliza waliosoma na wazungu darasa moja huko kwao ndo utaelewa. Soma historia sayansi ya mwafrica hadi leo ni gumzo duniani. Mwafrica kafanya safari ya dunia kabla ya huyo mzungu na mwaasia. Ndo maana hata China watu wa kwanza walikuwa na asili ya Africa. Walikuwa weusi. Mwafrica ndiye alivumbua bara America kabla ya Columbas hao hao wazungu siku hizi wanakubali. Columbas mwenyewe alisema alikutana na watu weusi waliompa zawadi huko america.

Piramidi unazoziona zilijengwa na weusi si weupe wala waarabu. Wakazi wa mwanzo wa Misri walikuwa weusi. Ndo maana piramid za Misri Sudan na hata huko Zimbabwe kuliko na majengo ya mawe zinafanana. Mzungu na muasia wako hawaelewi sayansi iliyotumika.
Tusijishushe kwa kuwaona wazungu na hao wasia kuwa wako juu yetu.

Kosa linalofanyika kwa mwafrica tunamuiga mzungu kila kitu. Kuanzia demokrasia, maisha wakati tamaduni zetu ni tofauti kabisa na wao. Tunaiga hadi vyakula vyao sasa tunakufa sana kwa kansa wakati zamani haikuwa kawaida. Tumeacha asili yetu kwa kudhani kila cha mzungu ni kizuri. China au Asia wao bado wanafuata asili yao. Hata wakiiga wanabadilisha kwa asili yao. Sisi tunaamisha kama ilivyo.
Demokrasia inammaliza mwafrica bila kujua. Tumebaki kuzubaa na demokrasia tukidhani ndio njia ya kuleta maendeleo. Hata ulaya hakukuwa na demokrasia ndiyo maana walipata maendeleo. Angalia China! Wanademokrasia kweli wale? Waafrica tufikirie mfumo wetu mpya tuwe na demokrasia yetu kwa asili yetu. Na tuache kuwaona wazungu ati ndo wanaakili zaidi ya mweusi au hao waasia. Mzungu mara nyingi akiwa na mwafrica hajiamini, ataangaika ajioneshe yeye anajua, ataangaika ajioneshe yeye ni maalum. Sasa unajiuliza hayo yote ya nini? Mtu anae jiamini (mwafrica) hana haja ya kujionesha. Leo wanawatangaza akina Bill Gate na wengineo wengi kuwa Matajiri wa dunia. Mbona Manka kan Musa ambae utajiri wake haujawahi kufikiwa hawamtangazi? Ingekuwa mzungu angetangazwa sana. Lakini huyu mfalme ndiye mtu alie kuwa tajiri zaidi duniani, na ni mwafrica.
 
Hamna sehemu hata moja nimekubaliana na mawazo kwamba hatuna akili, kila jamii kuna wenye akili na wajinga, given mazingira sawa probably tunaweza fanya vizuri zaidi kuliko wazungu, hapa nataka uelewe arguments zinazoletwa na wazungu, chukulia argument subsaharan haina maendeleo sababu ya LOW IQ, swali la kujiuliza ni kweli au uongo sub saharan tupo nyuma?

Naweza debate hoja zao kwamba we are genetically engineered to be inferior but siwezi refute the fact that we have a political system that allows and promotes the less "abled" intellectually to climb the political ladder, chukulia katiba ya Sasa unayosema kuwa mbunge ujue kusoma na kuandika., Mtu wa aina hiyo in the current demanding world ambapo intellectual capacity is highly needed to advance and make informed decisions for the benefits of the whole society, is it a coincidence?

Viongozi wanaingia mikataba inayoumiza vizazi na vizazi, why can't we see the same trend in Europe or America?

Leo ni miaka 60 ya uhuru.. how do you compare na nchi zingine ambazo miaka 60 iliyopita zilikuwa masikini kama sisi ? What happened?

Miaka 60 ya uhuru tumerudi kwenye mgao wa umeme, and you think it's easy kuwajibu wazungu wanapoturushia mawe? I do understand we are not that. ,"stupid" and most arguments I was paraphrasing or quoting, it does not reflect my opinion on the matter.. personally naamini we can do better than this ila bila kuwa na viongozi kule juu wakuweza kuleta societal changes then let the white man aseme anachoweza kusema juu yetu.

Kama Leo anamsikia kiongozi wa juu anaongea maneno ya ku justify "systemic corruption" which is not hard to decode with an average IQ ya mtoto wa Darasa la 7, what does that say about us as people and as a race,? You want them to clap their hands?
 
Hamna sehemu hata moja nimekubaliana na mawazo kwamba hatuna akili, kila jamii kuna wenye akili na wajinga, given mazingira sawa probably tunaweza fanya vizuri zaidi kuliko wazungu, hapa nataka uelewe arguments zinazoletwa na wazungu, chukulia argument subsaharan haina maendeleo sababu ya LOW IQ, swali la kujiuliza ni kweli au uongo sub saharan tupo nyuma?

Naweza debate hoja zao kwamba we are genetically engineered to be inferior but siwezi refute the fact that we have a political system that allows and promotes the less "abled" intellectually to climb the political ladder,
Soma maelezo uliyoyatoa kwa kusema tunazaana sana, umesema tunaharibu mazingira, umesema tunakula ugali. Usikwepe ulichokiongea. Swala la sub sahara kuwa nyuma kimaendeleo, si hoja. Mzungu ilimchukua muda gani kufikia maendeleo aliyofikia hii leo.
Nikupe mfano halisi. Nchi nyingi za Ulaya, miaka ya 60 kuja hadi sabini, walikuwa na maisha magumu. Wengi waliishi kwa kula viporo. Wakati huo nchi zingine hazikupata tawaliwa.
Kutokuwa na maendeleo siyo swla la IQ, Ulaya hawakujikuta na maendeleo, Japan wala China hawakujikuta na maendeleo. China ilikuwa nchi masikini, hata Japan. Je kwa wakati huo walikuwa na LOW IQ, kwa unavyomaanisha ati SubSahara ni hatuna maendeleo tuna LOW IQ, daaah! huu utafiti sijawahi uona.
Hat huko China au Japan, bado kuna watu wanaishi maisha magumu na hasa vijijini. hata America au Ulaya kuna sehemu watu wanamaisha magumu sana kuliko Sub sahara. Masai leo unamkuta ana ng'ombe kibao. Thamani ya mifugo yake anaweza jenga na kuishi maisha mazuri sana. Lakini kwanini anabaki na maisha alonayo, ni kwasababu ya tamaduni zake. Analinda asili yake. Si kwamba IQ yake ni ndogo.
Nchi za Scandinavia hasa SWEDEN maeneo ya Kaskazini kuna kabila la wafugaji, mtindo wa maisha yao ni kama wamasai. Na serikali inawalinda waendelee na mfumo wao wa maisha kwa sababu wanalizika nao. Si kwamba wana LOW IQ kisa hawana maendeleo. Tafakari!
 
Umewahi kujibu, kasome hoja zangu zote, it's weekend I can respond to your arguments intellectually with respect, ngoja nianze na hilo la ugali probably unaupenda sana na umeumia.

Kwa upana, jamii yetu ikiwamo mama wajawazito wanakula ugali sana, na mboga kwa asili yetu inaweza ikawa yoyote which to a large extent does not compansate the nutritional needs for a pregnant woman, IQ is variable and nutrition plays a critical role in brain development more importantly in the 3rd trimester mpaka miaka 5 ya mtoto ambao anakuwa amefikisha 90% of adult brain.

Overall, sababu na Mimi ni mtanzania najua maisha ya watanzania watoto wetu wengi wapo intellectually challenged sababu ya hizo sababu, predicting an IQ ya jamii given those environment sio kazi.

Umeongelea watu wa kanda ya ziwa, chukulia wahaya au wakerewe, they are very smart and some extremely smart, and the reasons lies on nutrition esp DHA,. They consume Nile perch, tilapia na dagaa ambazo zina substantial amount of DHA which is the precursor of myelination. Myelination inasaidia kwenye processing speed ya brain ndio maana watoto wetu hawafanyi vizuri kwenye mathematics na IQ test na tafiti zao hao wazungu wanasema waafrika hatufanyi vizuri kwenye processing speed. Jiulize kwann European Union imeweka regulations lazima maziwa ya watoto ya kopo yawe na DHA, wanajua Siri, kasome literature u'll enlighten yourself even more.

Ukiniuliza kwann wajapan wana akili na sisi tuna low IQ majibu ni hayo na culture ya mwafrika kutokupenda kusoma, wajapan wana spend 3 to 4 hours zaidi ya mtoto wa sekondari wa marekani, wana program za ku enhance the brain capacity kama anzan, sudoku kwa watoto that eventually predict the IQ of Japanese as a society, brain is the muscle, use it or loose it.

Kuna mambo mengi sana kma jamii lazima tuyalekebishe kama tunataka kutoka hapa ikiwemo wanasiasa wasiojali maslahi ya taifa, ma ,"Puppet" wa wazungu wanao tuumiza kama jamii.

Akili haiji kwa miujiza... it's nature (ambayo Mungu tayari kaweka and I strongly believe genetically there's no variation), variation ya sisi na wazungu, kwa maoni yangu ipo kwenye nutrition, how we develop the executive functions of our kids and extra curricular activities during schooling.

Hata kuzaliana sana bila kuwa na uwezo wa kulea hao watoto for obvious reasons inatengeneza jamii ya wapumbafu, watoto wanataka mambo mengi sana kuwa a functional adults.
 
Umewahi kujibu, kasome hoja zangu zote, it's weekend I can respond to your arguments intellectually with respect, ngoja nianze na hilo la ugali probably unaupenda sana na umeumia.

Kwa upana, jamii yetu ikiwamo mama wajawazito wanakula ugali sana, na mboga kwa asili yetu inaweza ikawa yoyote which to a large extent does not compansate the nutritional needs for a pregnant woman, IQ is variable and nutrition plays a critical role in brain development more importantly in the 3rd trimester mpaka miaka 5 ya mtoto ambao anakuwa amefikisha 90% of adult brain.

Overall, sababu na Mimi ni mtanzania najua maisha ya watanzania watoto wetu wengi wapo intellectually challenged sababu ya hizo sababu, predicting an IQ ya jamii given those environment sio kazi.

Umeongelea watu wa kanda ya ziwa, chukulia wahaya au wakerewe, they are very smart and some extremely smart, and the reasons lies on nutrition esp DHA,. They consume Nile perch, tilapia na dagaa ambazo zina substantial amount of DHA which is the precursor of myelination.

Ukiniuliza kwann wajapan wana akili na sisi tuna low IQ majibu ni hayo na culture ya mwafrika kutokupenda kusoma, wajapan wana spend 3 to 4 hours zaidi ya mtoto wa sekondari wa marekani, wana program za ku enhance the brain capacity kama anzan, sudoku kwa watoto that eventually predict the IQ of Japanese as a society, brain is the muscle, use it or loose it.

Kuna mambo mengi sana kma jamii lazima tuyalekebishe kama tunataka kutoka hapa ikiwemo wanasiasa wasiojali maslahi ya taifa, ma ,"Puppet" wa wazungu wanao tuumiza kama jamii.

Akili haiji kwa miujiza... it's nature (ambayo Mungu tayari kaweka and I strongly believe genetically there's no variation), variation ya sisi na wazungu, kwa maoni yangu ipo kwenye nutrition, how we develop the executive functions of our kids and extra curricular activities during schooling.

Hata kuzaliana sana bila kuwa na uwezo wa kulea hao watoto for obvious reasons inatengeneza jamii ya wapumbafu, watoto wanataka mambo mengi sana kuwa a functional adults.
Unachoongoe sikuelewi, bado unakubali kuwa si waafrica wote wanakula ugali. Kama si wote kwanini ujumuishe. Nenda nchi nyingi Africa hawali ugali. Nawe unadai tuna LOW IQ. Ueleweki. Kupenda ugali si hoja. Ni chakula. Japo nimezaliwa sehemu ambayo kwao ugali si chakula asilia na ninaishi nchi ambayo uwezi pata ugali. Lakini bado nasema Ugali ni chakula kizuri. Kwani ugali unaweza pikwa kwa nafaka tofauti si mahindi tu. Na hizo nafaka ndo wengine wanatengeneza mikate na vyakula vingine. Hujaja na hoja ya kisayansi inayo onesha kula ugali ni kuwa na IQ ndogo.

Swala la wajawazito kula ugali tu nakukatalia, nimekulia maeneo yote kijijini na mjini. Najua maisha ya watanzania. Hasa vijijini. Vijijini wanakula vizuri sana zaidi ya mjini wanakokula chips. Ukienda usukumani, wanakula, viazi, ugali, samaki, maziwa, karanga,mahindi, wali, maharagwe, nyama na mboga mboga, ukienda, Kilimanjaro, wanakula ndizi, maharagwe, nyama, viazi mviringo,maziwa, na mboga mboga. na sehemu nyingi zinginezo. Sasa huo ugali unao sema kuwa ni ugali pekee ni wapi huko? Na mahindi ni moja ya virutubisho? Ukienda Musoma hasa Ukuryani na uzanaki wanakula sana ugali wa mtama! Unajua virutubisho vilivyo katika mtama?
Unajua kuwa bia inatengenezwa kwa mtama? Ukijua virutubisho hivyo hutoongea hayo unayo ongea.

Unajua wagogo wanakula ugali wa uwele? Ukienda Musoma kwa wajita, wanalima mpunga, mbali ya kula wali, uwa wanapika ugali ulioandaliwa kwa unga wa mchele? Unajua Japan, na China chakula chao kikubwa ni wali unaotokana na mchele? Kuna tofauti ipi ya wali na ugali wa unga wa mchele? Virutubisho ni vile vile! Hiyo Low IQ unayoisema ipo tu kwenye ugali wa unga wa mchele si wali?

Maeneo ya Pwani chakula asilia ni wali, na maharagwe, amabcho hiki chakula ni sawa na Japan na china. Tatizo liko wapi. Watu wanakula ugali uliopikwa kwa unga wa ngano, je inatofauti ipi na mikate wanaokula wazungu?

Mikoa ya njombe, Mbeya na mingineyo wanakula sana viazi mviringo ndo asili yao, na vinalimwa sana huko. Je wanatofauti ipi na wazungu wala viazi vya mviringo? Au unadhani cha mzungu ni bora zaidi kuliko cha Mwafrica, wakati ni yaleyale.

Nigeria wanakula ugali wa viazi mviringo, na mihogo, je wana Low IQ? Make ni ugali! tunawaona wanaijeria wakifanya vizuroi mambo mengi duniani. So hiyo ni Low IQ kwa kuwa wanakula Ugali.
Nakushangaa na nitaendelea kukushangaa!

Ulaya sas hivi wanapenda natural food, ambayo inaliwa kwa wingi Africa. Nenda America ya kusini vyakula vyao vingi ni sawa na vyakula vya Africa. Nenda Columbia, wanakula mihogo, mahindi ( ambayo ni ugali unao pinga,) wanakula wali, viazi mviringo ambavyo Nigeria ndo ugali. Zunguka dunia ujifunze kuliko kusubiri kusoma mzungu aloaandika nawe unashangilia. Unakazania ukila ugali ni Low IQ uangalii ugali unatokana na nini? Ulaya wanakula mahindi, mihogo, viazi, mtama katika different form. Kikubwa ni nutrients, si jina. Nutrients zilizo katika ugali, na inategemea ugali umepikwa kwa nini utazipata kwenye chakula kingine kniachotokana na hiyo nafaka. Mzungu asipo kula ugali, lakini anakula mahindi, hivyo ni sawa na alie kula ugali wa mahindi. Anae kula ugali wa viazi mviringo ni sawa na anae kula viazi mviringo.
 
Back
Top Bottom