Kama Wanamgambo wa Hamas 2000 walijipenyeza Israel na kuishambulia hivi, vipi kwingineko ambako Kambi zao za Jeshi zina fremu za biashara?

Au kambi imejaa kama pale nyamadoke..haiwezekani😁
 
Kuna ile ya mwenge, wamejenga fance yenye mabati kwa juu.
 
Nakukumbusha
 
umeeleweka kabisa mshono kabisa
 
wote tunajua hiyo ni surprise attack hawakujua lolote
 
wote tunajua hiyo ni surprise attack hawakujua lolote
Hamas walivyoshambulia na kuchukua mateka waliondoka anataka kutudanganya hamas walibaki kushikiria maeneo kama kuna hamas wamekufa hyo kawaida unaendaje vitani mrudi wote salama wengne lazima mfe hata israel akiingia gaza huwa wanaokota maiti zao kila siku sio mara moja au mara mbili wanaingia gazi na kupoteza askari
 
Sawa sawa Puerto Rico n Venezuela.
 
Hapo ndio ufahamu intelijensia ya Israeli ni yakiboya sana. Hata wote wanaotumia intelijensia na mafunzo ya Israel Kwa hapa Afrika mashariki nao ujumbe uwafikie.

Kama anaekupatia ujanja kaolewa basi na wewe jiandae kuolewa na wahuni
 
Hapo ndio ufahamu intelijensia ya Israeli ni yakiboya sana. Hata wote wanaotumia intelijensia na mafunzo ya Israel Kwa hapa Afrika mashariki nao ujumbe uwafikie.

Kama anaekupatia ujanja kaolewa basi na wewe jiandae kuolewa na wahunia
Daaaaaa.

Umeongea kwa hisia sana aisee
 
Jeshi la hovyo. Wameshindwa kukipindua Chama Cha manjano na kijani Vita hiyo kuwezaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…