GE2025 Kama wananchi ndio hawa wanaimba hawamtaki,anagombea ili amuongoze nani?

GE2025 Kama wananchi ndio hawa wanaimba hawamtaki,anagombea ili amuongoze nani?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
13,966
Reaction score
26,220
Hii kitu imetokea huko kimara leo
Abiria wa mwendokasi walikua wanaimba kuwa hawamtaki Samia.
Cha ajabu police wamewakamata.

Screenshot_20250923_145520_Instagram.jpg
 
Ahueni kufungwa kwa Tundu Lissu kwa kesi ya mchongo, kumemsaidia mtu na balaa la kukataliwa hadharani na Watanganyika wanaojitambua.
 
Anashindwa kutatua changamoto ndogo kama hii. Ataweza kweli kusimamia vitu vikubwa kama miradi ya kimkakati, kupunguza rushwa, ufisadi, kulinda mali na rasilimali za Taifa, kusimamia miundombinu, afya, uhai wa Watanganyika.
 
Back
Top Bottom