kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 13,966 Reaction score 26,220 Sep 23, 2025 #1 Hii kitu imetokea huko kimara leo Abiria wa mwendokasi walikua wanaimba kuwa hawamtaki Samia. Cha ajabu police wamewakamata.
Hii kitu imetokea huko kimara leo Abiria wa mwendokasi walikua wanaimba kuwa hawamtaki Samia. Cha ajabu police wamewakamata.
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,306 Reaction score 14,632 Sep 23, 2025 #3 Awaongonze ng'ombe watakao enda kupiga kula za hapana zikaibiwa zikajazwa ndio...
kitalembwa JF-Expert Member Joined Jul 12, 2014 Posts 8,216 Reaction score 21,914 Sep 23, 2025 #4 October umeshatiki masta..... !
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,405 Reaction score 138,158 Sep 23, 2025 #5 Ahueni kufungwa kwa Tundu Lissu kwa kesi ya mchongo, kumemsaidia mtu na balaa la kukataliwa hadharani na Watanganyika wanaojitambua.
Ahueni kufungwa kwa Tundu Lissu kwa kesi ya mchongo, kumemsaidia mtu na balaa la kukataliwa hadharani na Watanganyika wanaojitambua.
R ruaharuaha JF-Expert Member Joined Feb 14, 2018 Posts 4,453 Reaction score 5,719 Sep 23, 2025 #6 Anashindwa kutatua changamoto ndogo kama hii. Ataweza kweli kusimamia vitu vikubwa kama miradi ya kimkakati, kupunguza rushwa, ufisadi, kulinda mali na rasilimali za Taifa, kusimamia miundombinu, afya, uhai wa Watanganyika.
Anashindwa kutatua changamoto ndogo kama hii. Ataweza kweli kusimamia vitu vikubwa kama miradi ya kimkakati, kupunguza rushwa, ufisadi, kulinda mali na rasilimali za Taifa, kusimamia miundombinu, afya, uhai wa Watanganyika.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Sep 23, 2025 #7 Inashangaza sana
H Hamatan JF-Expert Member Joined Nov 10, 2020 Posts 7,840 Reaction score 18,115 Sep 23, 2025 #8 Hakuna mwenye akili timamu anayemtaka. Kipindi chake kimeisha, akapumzike.