Kama wanaotoka jela wanarudi na ujuzi, kwa Nini tusiwafunge vijana wote wakapate ujuzi huko?

Akili za Ki CHADEMA CHADEMA unafikiri rahisi kuingia jela kule lazima ufanye kosa ndo unaenda kwa warrant ya Mahakama ni kweli pia watu hupangwa kazi kutokana na hobby zao kuna wa kufanya kazi za Ujenzi, Ushonaji, Selemala, Bustani, Mifugo, Mazuria n.k
 
Sema tu ni vile hatuna viongozi wenye akili nyingi na maono ya mbali. Hii nchi ina raslimali za kila aina. Zingetumika vile inavyotakiwa, matatizo mengi ya msingi yangeweza kutatuliwa.
Imagine tuna ardhi ya kutosha yenye rutuba kwa ajili ya kilimo na ufugaji! tumezungukwa na mito, maziwa, mabwawa na na bahari! Lilikuwa ni suala tu la serikali kutengeneza mazingira ya vijana kukopa pesa kwenye mabenki kwa riba kidogo ili kuanzisha miradi mbalimbali ya kuwakwamua kutoka kwenye dimbwi la la umasikini na ukosefu wa ajira.

Tuna misitu ya asili na ile ya kupandwa kwa ajili ya mbao na ufugaji wa nyuki! Nchi yetu imezungukwa na land locked countries ambazo tungezitumia ipasavyo kwenye suala zima la biashara!
Walau kwa sasa tuna umeme wa kutosha wa kuwavutia wawekezaji wa ndani na nje kuanzisha viwanda vya kuzalisha bidhaa mbalimbali za kuuza ndani na nje ya nchi! Haya yote yangepunguza tatizo la ajira kwa sehemu kubwa.

Shida kubwa iliyopo ni hii ya kukosa viongozi niliowataja hapo juu. Wenye akili nyingi na maono ya mbali. Badala yake tuna viongozi wabinafsi, wapigaji, na mafisadi.
 
Ccm popote utamjua hata bila kaunda ya kijani sio kwa micharuko hii. Ati nasikitika haupo mirembe. Jamaa kasema kweli. We hapo umesoma hauna fani jela watu wanapewa fani huoni ni sawa watu wapate fani huko.
 
Sema tu ni vile hatuna viongozi wenye akili nyingi na maono ya mbali. Hii nchi ina raslimali za kila aina. Zingetumika vile inavyotakiwa, matatizo mengi ya msingi yangeweza kutatuliwa.
Imagine tuna ardhi ya kutosha yenye rutuba kwa ajili ya kilimo na ufugaji! tumezungukwa na mito, maziwa, mabwawa na na bahari! Lilikuwa ni suala tu la serikali kutengeneza mazingira ya vijana kukopa pesa kwenye mabenki kwa riba kidogo ili kuanzisha miradi mbalimbali ya kuwakwamua kutoka kwenye dimbwi la la umasikini na ukosefu wa ajira.

Tuna misitu ya asili na ile ya kupandwa kwa ajili ya mbao na ufugaji wa nyuki! Nchi yetu imezungukwa na land locked countries ambazo tungezitumia ipasavyo kwenye suala zima la biashara!
Walau kwa sasa tuna umeme wa kutosha wa kuwavutia wawekezaji wa ndani na nje kuanzisha viwanda vya kuzalisha bidhaa mbalimbali za kuuza ndani na nje ya nchi! Haya yote yangepunguza tatizo la ajira kwa sehemu kubwa.

Shida kubwa iliyopo ni hii ya kukosa viongozi niliowataja hapo juu. Wenye akili nyingi na maono ya mbali. Badala yake tuna viongozi wabinafsi, wapigaji, na mafisadi.
Wewe binafsi umefanya nini kujikwamua kiuchumi au kuwakwamua wanaokuzunguka ngazi ya familia? Au hela zako umewekeza kwenye papuchi halafu unakuja mtandaoni kuilaumu serikali?
 
Maoni yangu yanaihusu serikali. Sasa kama unataka nijieleze nilichofanya hapa ili kukuridhisha wewe, hiyo ni ishu nyingine.
 
Nakumbuka kuna Chuo fulani niliwahi kutembelea kwenye Orientation sasa kwenye yale maelezo ya yule muelezeaji akasema course ambayo watu wanasoma kwa kulipa mamillion kuna wafungwa magerezani wanasoma bure kabisa na wanalipiwa na Serikali nilichoka kidogo, kwa hio usishangae kuona wanatoka na ujuzi hao hua hawalipi hata 100 mbovu ni bure kabisa ukiwa mfungwa kusoma ni bure na unahitimu na cheti unapewa
 
Ni kitu kizuri--tena wangesema ukisoma zaidi unapunguziwa adhabu--tungepata maprofesa wengi sana!
 
Sema tu ni vile hatuna viongozi wenye akili nyingi na maono ya mbali. Hii nchi ina raslimali za kila aina. Zingetumika vile inavyotakiwa, matatizo mengi ya msingi yangeweza kutatuliwa.
Imagine tuna ardhi ya kutosha yenye rutuba kwa ajili ya kilimo na ufugaji! tumezungukwa na mito, maziwa, mabwawa na na bahari! Lilikuwa ni suala tu la serikali kutengeneza mazingira ya vijana kukopa pesa kwenye mabenki kwa riba kidogo ili kuanzisha miradi mbalimbali ya kuwakwamua kutoka kwenye dimbwi la la umasikini na ukosefu wa ajira.

Tuna misitu ya asili na ile ya kupandwa kwa ajili ya mbao na ufugaji wa nyuki! Nchi yetu imezungukwa na land locked countries ambazo tungezitumia ipasavyo kwenye suala zima la biashara!
Walau kwa sasa tuna umeme wa kutosha wa kuwavutia wawekezaji wa ndani na nje kuanzisha viwanda vya kuzalisha bidhaa mbalimbali za kuuza ndani na nje ya nchi! Haya yote yangepunguza tatizo la ajira kwa sehemu kubwa.

Shida kubwa iliyopo ni hii ya kukosa viongozi niliowataja hapo juu. Wenye akili nyingi na maono ya mbali. Badala yake tuna viongozi wabinafsi, wapigaji, na mafisadi.
Mkuu ukishakuwa kiongozi mentality yako inabadilika na kuwa usimuamshe aliye lala.
 
Halafu wewe ndio utakua wa kwanza kuja kufungua uzi hapa JF,
Ukilalamika kua vijana wanafungwa kwa kuonewa tu,tena bila ya kufikishwa Mahakamani.
 
Fikra za vijana zimedumazwa na hiki chama walahi...
 
Wewe ulivokua kijana nani alikufunga?
 
Back
Top Bottom