Kama wanawake hawakupendi na huna hela jifunze kupiga Saxophone, utawakimbia

Kama wanawake hawakupendi na huna hela jifunze kupiga Saxophone, utawakimbia

Get money, Get money, hustle hard kabisa, ilo dude litakufanya uharibike meno manake unalipuliza sana homie, Get a job that will bring you income masta sijui hata nsemaje,
 
Duniani maajabu hayaishi,usijesema umeyaona yote mengine yanaibuka upya ndo maana mi huwa nasema HAKUNA ASIYEKUWA MSHAMBA DUNIANI
 
Get money, Get money, hustle hard kabisa, ilo dude litakufanya uharibike meno manake unalipuliza sana homie, Get a job that will bring you income masta sijui hata nsemaje,
Labda kuharibika mapafu ila sio meno
 
Labda kuharibika mapafu ila sio meno
Hata meno we ulimeze hilo dude lote upige kwa namna ambayo wanawake watakuwa impressed mzee ? To add insult to injury wanawake ni wagumu sana kuwa impressed. Basically it takes time its going to ruin your teeth, colon and the only advantage you gon have is you will be “super head” Karrine Steffans this girl is a natural….
 
View attachment 3135186
Hiki kidubwasha ni hatari sana,nuliwahi kuishi nchi fulani sitaitaja jina,sikuwa na kazi ya kufanya,nikajiunga bendi ya wajamaica tukipiga Jazz na Salsa kwenye mahoteli makubwa,mimi nilikuwa napiga hiki kidude,nilikuwa nagombaniwa na wanawaje mpaka nikapata mshangazi wa kizungu.

Baada ya kurudi nchini nilijiunga kwaya ya kanisani ile ya praise and worship.,nilifanya mageuzi makubwa ya kwaya,sehemu ya vinanda nilitoa nikarepkace na sauti ya saxophone,
View attachment 3135262View attachment 3135262
Hizi saxophone ziko aina tatu Altor Tenor na Saprano..mimi hupendelea hizo mbili za mwanzo.nimesahau kuna bass pia
Sasa wakati wa nyimbo za kuabudu huwa nakipuliza kwa misifa na unavyojua makanisa ya kilokole asilimia kubwa huwa ni wakina mama,...kuna siku nilikipuliza nikakuta kanisa zima wanalia kwa hisia kama wamefiwa,kucheki jirani yangu kuna dada vinyweleo vimemsimama.
Ni vile sina pepo la uzinzi ningemaliza kondoo wa bwana

Sema bei yake imechangamka,hakipungui laki saba.

Mimi nilizaliwa nilikikuta nyumbani,kule upareni janisa la kKKT zamani hakuna ibada bila kwaya ya matarumbeta,nadhani wajerumani wamisionari ndio waasisi wa tarumbeta makanisani.

Kama mpenzi wako amenuna au umemkasirisha mpigie taratiibu lazima akusamehe.

Wanawake wanapenda sana wanaume wenye talent hasa ya muziki,ila katika wasanii wote wapiga saxophone wanavutia sana wanawake
NB sifundishi wala siuzi saxophonenaomba mniekewe,kwa sasa niko babati nalima ngano

Watoto wa 2000 endeleeni kutafuta hela,Umri wenu bado mdogo na kizazi chenu hamjui kupiga ala za muziki,uzi huu ni kwa wazee wakiokata tamaa ya utafutaji na wako lonely
Hatutaki tumeokoka😁
 
Wanawake wa siku hizi hawaeleweki hata wanachotaka
Wengine wanapenda pesa
Wengine wanapenda wavuta bangi
Wengine wanapenda sauti ya jaiva
Wengine wanapenda six pack
Wengine wanapenda vipara
Wengine wanapenda ndevu kama za vijana wa hovyo wa makumbusho
Yaani kiufupi usijiangaishe eti ukifanya kitu fulani ndio wanakuja
Hao wakiamua kuja wanakuja tu.
Sasa hivi imeongezeka Tarumbeta mkuu shaur yako, nunua hata moja list iwe full 😂
 
Kuna wajinga weww ni nambari moja😕
Maduka yote ya kariakoo ni ya kwangu sio,pumbavu kweli wewe
Tumia akili watu wakianza kuvinunua ni faida ya kwenu wote na bei itapanda kutokana na mahitaji....sema umekili kuwa unakaduka kako ka hivyo vifaa ...mimi ni genius 👏
 
Back
Top Bottom