DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
In short wanawake mnatia Huruma Sana. Unajinasibu unataka Mwanaume mwenye pesa hila Mwisho wa siku unaishia kupewa Mimba tu na kuachwa .
Njia ya Mtu Kupata pesa ni kufanya Kazi hayo Mambo mengine mnajidanganya. Kwasababu tangia Mtu adange lakini Unakuta Mambo Ni 0-0
Wanawake fanyeni Kazi huku mtaani mtaishia kumegwa na wazee wenye umri wa babu zenu.