DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Aug 13, 2022 #1 In short wanawake mnatia Huruma Sana. Unajinasibu unataka Mwanaume mwenye pesa hila Mwisho wa siku unaishia kupewa Mimba tu na kuachwa . Njia ya Mtu Kupata pesa ni kufanya Kazi hayo Mambo mengine mnajidanganya. Kwasababu tangia Mtu adange lakini Unakuta Mambo Ni 0-0 Wanawake fanyeni Kazi huku mtaani mtaishia kumegwa na wazee wenye umri wa babu zenu.
In short wanawake mnatia Huruma Sana. Unajinasibu unataka Mwanaume mwenye pesa hila Mwisho wa siku unaishia kupewa Mimba tu na kuachwa . Njia ya Mtu Kupata pesa ni kufanya Kazi hayo Mambo mengine mnajidanganya. Kwasababu tangia Mtu adange lakini Unakuta Mambo Ni 0-0 Wanawake fanyeni Kazi huku mtaani mtaishia kumegwa na wazee wenye umri wa babu zenu.
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,104 Reaction score 29,178 Aug 13, 2022 #2 Sawa๐ ๐
BravoZulu JF-Expert Member Joined Sep 16, 2021 Posts 1,824 Reaction score 3,747 Aug 13, 2022 #3 ๐๐๐๐jiwe zito๐๐
kelphin JF-Expert Member Joined Dec 24, 2019 Posts 9,872 Reaction score 16,319 Aug 13, 2022 #4 Nashukuru mungu kuniumBA MWANAUME AISE[emoji3]
Mamndenyi JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 43,242 Reaction score 60,939 Aug 13, 2022 #5 Tunadanganyika tu
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 22,527 Reaction score 79,976 Aug 13, 2022 #6 BUKOBA LAND said: Wanawake fanyeni Kazi huku mtaani mtaishia kumegwa na wazee wenye umri wa babu zenu. Click to expand... Kumegwa kwa baadhi ya wanawake ni kazi inawaweka mjini
BUKOBA LAND said: Wanawake fanyeni Kazi huku mtaani mtaishia kumegwa na wazee wenye umri wa babu zenu. Click to expand... Kumegwa kwa baadhi ya wanawake ni kazi inawaweka mjini
financial services JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 17,776 Reaction score 42,402 Aug 13, 2022 #7 Aisee ukweli mchungu, tumekusikia acha tufanye kazi
Beesmom JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 17,202 Reaction score 28,732 Aug 13, 2022 #8 Bila mimba usingezaliwa,kuachwa ni matokeo tu.Sema tu Kwa sababu tunaplasenta ya kubebea ndo maana tunatambulika kuwa tumebeba mimba,la sivyo Mbona nanyi mnabenuliwa na kumwagiwa mbegu tu kama sisi mkuu.Easy plz
Bila mimba usingezaliwa,kuachwa ni matokeo tu.Sema tu Kwa sababu tunaplasenta ya kubebea ndo maana tunatambulika kuwa tumebeba mimba,la sivyo Mbona nanyi mnabenuliwa na kumwagiwa mbegu tu kama sisi mkuu.Easy plz
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Aug 13, 2022 #9 BUKOBA LAND said: Unajinasibu unataka Mwanaume mwenye pesa hila Mwisho wa siku unaishia kupewa Mimba tu na kuachwa Click to expand... Mimba ni zaidi ya pesa
BUKOBA LAND said: Unajinasibu unataka Mwanaume mwenye pesa hila Mwisho wa siku unaishia kupewa Mimba tu na kuachwa Click to expand... Mimba ni zaidi ya pesa
vanus JF-Expert Member Joined May 27, 2017 Posts 1,151 Reaction score 2,896 Aug 13, 2022 #10 Acha kuwashtua basi, unafukuza ndege Sent using Jamii Forums mobile app