Kama wanawake wanapenda wanaume wenye hela, kwanini wenye nazo ndo wanaongoza kuchapiwa?

Kama wanawake wanapenda wanaume wenye hela, kwanini wenye nazo ndo wanaongoza kuchapiwa?

Habari zenu wakubwa,

Mada nyingi humu mnasapoti pesa ndo kinasio cha kuwanasa wanawake lakini ukiangalia wenye nazo ndo wanasalitiwa sana,unakuta mwanamke kaolewa na tajiri baada ya mda anaanzisha vurumai wagawane mali asepe aende kwa mwanaume wake kapuku,stori za wake za watu kuzaa na wafanyakazi wa waume zao ni nyingi sana.

Kama mimi nna dem flani ana msela wake ndo anaemuwezesha kwangu halambagi ata mia kwangu anafwata miti tu, huyu demu hata tym nae sina ye ndo shobo kibao kama saivi nimegombana naye tunamwezi sasa hatuongei kisa anataka serious relationship na mimi sipo tayari, wakati alipaswa awe serious huko ambapo anajaliwa kwa kupewa fedha.

Kwani hawa viumbe ili uwanase mazima kufa na kuzikana inapaswa uwape nini?
Wana mahitaji mengi pesa ni mojawapo.
 
Unaweza Kuta jamaa anataka kumwaga au ana mademu wengi na wote anawanunua ndo maana demu anataka akugande wewe kwakuwa huna makuu
 
Mwanamke anahitaji vingi, ila pesa ndio sabuni ya roho, baada ya pesa ndio kugongwa vizuri, kisha vifuatavyo wanatofautiana, kuna wanaopenda mahandsome, watu wanaojali saana, wacheshi, mrefu, mweusi, mkimya etc.
Sasa unaweza ukawa na hela na unamgonga vizuri, lakini sio handsome wala huna Sixpack, kama hayo ni machaguo yake huenda akagongwa tena 😂
Una hela, unagonga vizuri, handaome na six-packs unazo lakini uko bize muda mwingi, huna muda, anaweza akagongwa 🤣😂

Yaani hivi viumbe havina formula maalum, we kikubwa ishi maisha yako ukimpata mtulivu ishi nae.

Sio wote wanagongwa gongwa wapo waaminifu, japo ni wachache saaaaana
 
Mkuu wanaume wa siku hizi hawana mapenzi ya kweli ndio maana wanawake nao wanaishi kwa machale, mtu anawaza ajicommit kwa mtoto wa mtu wakati anajua lazima tu watakuwa wamepangwa msururu na hakuna mwenye uhakika kwamba anapendwa, hivyo nao wanaona acha wakae mguu nje mguu ndani ili lolote likitokea wasianze kutafuta sumu au silaha
Hivi kitakwimu unajua ni wanaume wachache wenye uwezo wa kupanga msururu wa wanawake?

Vijana wengi wa kiume wako single, wana-struggle kupata hata girlfriend mmoja Jadda
 
Wanapenda hela za mtu, Kuna tofauti kati ya kupenda mtu mwenye hela na kupenda hela za mtu.
 
Kuchapiwa inategemea na tabia ya mtu tu !
Pesa ni sabuni ya roho but mwanamke Ukiendekeza lazima ufe Siku si zako! Hapana hapana

cc Smart911
 
Hivi kitakwimu unajua ni wanaume wachache wenye uwezo wa kupanga msururu wa wanawake?

Vijana wengi wa kiume wako single, wana-struggle kupata hata girlfriend mmoja Jadda
Hilo waambie wanaume wenzio wanaosemaga hakuna mwanaume rijali mwenye mwanamke mmoja siyo mimi
 
Back
Top Bottom