Kama wanawake wanapenda wanaume wenye hela, kwanini wenye nazo ndo wanaongoza kuchapiwa?

Wana mahitaji mengi pesa ni mojawapo.
 
Unaweza Kuta jamaa anataka kumwaga au ana mademu wengi na wote anawanunua ndo maana demu anataka akugande wewe kwakuwa huna makuu
 
Mwanamke anahitaji vingi, ila pesa ndio sabuni ya roho, baada ya pesa ndio kugongwa vizuri, kisha vifuatavyo wanatofautiana, kuna wanaopenda mahandsome, watu wanaojali saana, wacheshi, mrefu, mweusi, mkimya etc.
Sasa unaweza ukawa na hela na unamgonga vizuri, lakini sio handsome wala huna Sixpack, kama hayo ni machaguo yake huenda akagongwa tena πŸ˜‚
Una hela, unagonga vizuri, handaome na six-packs unazo lakini uko bize muda mwingi, huna muda, anaweza akagongwa πŸ€£πŸ˜‚

Yaani hivi viumbe havina formula maalum, we kikubwa ishi maisha yako ukimpata mtulivu ishi nae.

Sio wote wanagongwa gongwa wapo waaminifu, japo ni wachache saaaaana
 
Hivi kitakwimu unajua ni wanaume wachache wenye uwezo wa kupanga msururu wa wanawake?

Vijana wengi wa kiume wako single, wana-struggle kupata hata girlfriend mmoja Jadda
 
Wanapenda hela za mtu, Kuna tofauti kati ya kupenda mtu mwenye hela na kupenda hela za mtu.
 
Kuchapiwa inategemea na tabia ya mtu tu !
Pesa ni sabuni ya roho but mwanamke Ukiendekeza lazima ufe Siku si zako! Hapana hapana

cc Smart911
 
Hivi kitakwimu unajua ni wanaume wachache wenye uwezo wa kupanga msururu wa wanawake?

Vijana wengi wa kiume wako single, wana-struggle kupata hata girlfriend mmoja Jadda
Hilo waambie wanaume wenzio wanaosemaga hakuna mwanaume rijali mwenye mwanamke mmoja siyo mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…