Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Moja ya Jambo ambalo mataifa yaliyostaarabika wamefaulu nikuwaakikishia wananchi wake haki ya kuishi. Kwamba hakuna mtu atatoa uhai wa mtu akabaki salama; lazima tu abainike.
Kwa Tanzania hali ni mbaya, viongozi hata kapuku anaweza akafa kifo chenye utata tukabaki kusema tunamwachia Mungu. Je, hao wanaopigania haki yakuishi kwao hakuna Mungu? Maarifa yakutafuta Haki ya Marehem wanapewa na nani kama siyo Mungu?
Tunapojadili maendeleo lazima tujadili Haki ya kuishi, maana yake tusipojadili Haki ya kuishi hakuna umuhimu wa kutafuta utajiri kwa Sababu wakati wowote utauwawa na hakuna wa kukutetea.
Nayasema haya baada ya kuona mauaji yameongezeka sana nchini lakini hakuna documentary au taarifa inayoweka wazi wahalifu wa mauaji. Mara kadhaa kumekuwepo upuuziaji wa kutafuta haki ya marehem na watu kusema tunamwachia Mungu.
Ukimya wa mamlaka unafanya jamii kuacha kulinda nchi na kubaki na watu wasiojiamini matokeo yake Taifa linapotea kwenye ramani.
Tutoke adharani tuombe uchunguzi huru kwa vifo vyenye utata kama wanavyofanya wenzetu ulimwengu wa Kwanza. Wasiojulikana waliharibu nchi turejeshe imani.