Kama watoto ni Malaika kwa nini wana roho mbaya na tabia chafu

Kama watoto ni Malaika kwa nini wana roho mbaya na tabia chafu

Kama unataka kudebate mada iliyo ktk muktadha wa kimwili iweke hapa tudebate, ila mada za kiroho huwezi debate ktk muktadha wa kimwili.
Endelea kuwadanganya na kuwahadaa wajinga wenzako wanaodhan maswala ya roho yanajadiliwa kwa namna ya mwili
Hujathibitisha roho ipo kwa namna yoyote ile.
 
Roho inathibitishwa kwa namna ya roho, kama upo tayar sema tuanze kushusha evidence..
Au we unataka nithibitishe kwa njia gan
Thibitisha kwa njia inayoweza kuwa tested, inayoweza kutabiri vitu, inayopimika, yenye uthabiti wa kimantiki na isiyoweza kujipinga yenyewe.
 
Thibitisha kwa njia inayoweza kuwa tested, inayoweza kutabiri vitu, inayopimika, yenye uthabiti wa kimantiki na isiyoweza kujipinga yenyewe.
njia unazozitaja hapa ni za kimwil..through 6 organs
Roho haipimwi kupitia hizo njia 6 za fahamu (kimwili)
 
Mtoto mdogo ubongo wake ni plain (kama karatasi nyeupe). Anaeandika ni mzazi na mazingira anayoishi. Kanuni kubwa za mtoto mdogo kujifunza ni observation and imitation. Sasa swala linakuja anaobserve nini na kuimitate. Lastly yeye hufanya mambo asiyoyajua na wala yeye eheha
 
kusemwa yeye ni malaika si ukweli wa uhalisia lkn ni tafsiri kwani mtoto anakuwa hajua hili wala lile hata hivyo mtoto wa nyoka ni nyoka
Waislamu wanasema mtu ana chagua mwenyewe akiwa tumboni mwa mama yake akiwa hali ya kuwa ni mtoto sijui kweli!
 
Back
Top Bottom