Kama watoto ni Malaika kwa nini wana roho mbaya na tabia chafu

wasalaam wakuu,kwenye jamii yetu tumeaminishwa kuwa watoto ni Malaika hawana dhambi wala hatia yoyote(hata mimi nakubali hili).sasa mimi nauliza kama kweli watoto ni Malaika kwa nini wana roho mbaya na tabia za ovyo?Mfano unakuta mtoto wa miaka chini ya miwili ni mchoyo na mbinafsi yaani kitu chake hatoi kabisa,watoto wengine wana wivu kama wanawake kwa mfano ulimweka chini na kubeba mwingine yeye anaumia na kuanza kulia(hapa nazungumzia wale wa chini ya miaka miwili,tabia nyingine ni ukorofi,matusi(nimeshuhudia mtoto wa chini ya miaka 2 anatukana),na tabia kubwa ni kiburi na dharau.naomba kujuzwa au shetani anawapa mafunzo ya uovu huko tumboni kwa mama zao tabia hizi nimezifanyia uchunguzi.Nawasilisha
%by Sir Khan.born 2 win%
m mwenyewe najiulizaga, hili swali..
ukitaka kujua asili ya mwanadam angalia tabia za watoto wachanga ni wabnafsi, wachoyo, wenye wivu ect..
Hakika binadam ni mwovu kwa ASILI
 
Kuna kitabu kimoja kaandika muandishi anaitwa Howard Bloom kinaitwa "The Lucifer Principle: A Scientific Expedition Into The Forces Of History".

Muandishi kaelezea kwa kirefu sana hii dhana.

And it's not about original sin and all that religious mythology.

#DroppingJewels
 
Nilishauliza hili swali.

Mpaka leo sijajibiwa.
Kiranga naomba nikuelimishe kuwa Ulimwengu wa Roho upo na Ulimwengu wa mwili upo.
Wewee unaamini ktk ulimwengu wa mwili/unaoonekana pekee, ila tambua kuwa kuna ulimwengu wa roho (invisible world) usioonekana. Na pia tambua invisible world ndio,unaorun visible world unayoiamin wewe.

Sasa tukirudi ktk maswala ya Mungu kuwa yupo au hayupo, tambua kuwa kama wew si wa Kiroho basi huwezi kumfahamu wala kumuelewa Mungu hadi uwe wa kiroho. Mungu hachunguziki kwa namna ya mwili/ya kibinadamu bali hutambulikana kwa namna ya roho maana yeye ni roho na maandiko yanasema hivyo. Aidha, tambua kuwa kuwepo kwa Mungu au kutokuwepo hakupimwi kwa namna unavyotaka wewe na kwabali kwa vigezo unavyojiwekea wewe, bali kwa vigezo vya kiimani zaidi.
Mfano unavosema unataka umthibitishe Mungu either kwa kumwona, kumnusa au kumgusa utahangaika maana hapimwi kwa namna ya mwili kama unavotaka wewe.
Mungu anapimwa kwa namna ya roho ambayo wewe hauiamini, hvyo hutaweza kumtambua Mungu maana wewe si wa kiroho/imani.
Kiranga unapokosea ni pale unapotaka kumpima na kumthibitisha Mungu kwa namna ya akili za kibinadamu yaan kwa namna ya mwili (in a visible world) Hapa unakosea maana hvyo vigezo unajiwekea wewe ila maandiko hayasemi Mungu anathibitishwa kwa vigezo hvyo. Watu wengi wanakuona una akili na maarifa mengi ya kuhoji masuala ya Mungu kuwa yupo au hayupo kwasababu hata wao hawajui misingi gani,inatumika kumthibisha Mungu.

Katika eneo,unalokosea sana ni pale unapotaka kumthibitisha Mungu kwa namna akili yako inavokuongoza na si kwa namna biblia inavyosema.
 
Kwa nini unafikiri wewe utanielimisha mimi na si mimi nitakayekuelimisha wewe?

Roho ni nini?

Unaweza kuthibitisha ipo na si uzushi tu?

Nani kakwambia nakubali ulimwengu unaoonekana tu?

Unaweza kunukuu nilipoandika hilo?

Unajua kusoma?
 
Last edited:

Anyway..Lets go..
1.) Roho ni nn? Naomba nijibu kwa namna hii..
kulingana na nilivoandika ktk post yangu hapo juu. Roho ni operational power zisizoweza tambulikana/thibitishwa kwa namna ya mwili.

2.) Uthibitisho wa Roho kuwa ipo au haipo unatambulikana kwa namna ya kuiamini au kwa njia ya mafunuo(revelation). Ili uweze kuthibitisha hili huna budi kupokea mafundisho kwanza kisha kuAMINI then kupractice hapo utaweza thibitisha. Bila kufunuliwa au kuwa na Imani kamwe huwezi thibitisha roho ipo au lah. Aidha ukiwa ktk state ya Physical/Logical Reasoning huwezi kuuthibitisha uwepo wa operation za Roho ktk maisha. Hiv ni vtu vwili tofauti na vina njia tofauti ya kuvithibitisha. Huwezi thibitisha Logical-Reasoning kwa namna ya Roho wala kinyume chake.

3.) Uthibitisho wa kuwa unaamin ulimwengu unaoonekana nimeupata ktk maandiko na post mbalimbali unazozijibu hapa jf. Anyway kama unaamin pia ulimwengu usioonekana bas sio ishu bali ni vyema zaidi.

4.) Je najua Kusoma?
Ndio najua, otherwise ufafanue hili swali lako ulikuwa unalenga nn hasa
 
Kama roho haiwezi kutambulikana au kuthibitishwa kwa namna ya mwili, na inatambulika kwa imani tu, unajuaje unavyoamini roho ipo ni kweli ipo, na si hadithi tu?
 
Last edited:
Kama roho haiwezi kutambulikana au kuthibitishwa kwa namna ya mwili, na inatambulika kwa imani tu, unajuaje unavyoamini roho ipo ni kweli, na si hadithi tu?
hapa umeonesha wazwaz kwann unatakiwa kuelimishwa..
jibu ni hili hapa..
Hadithi haina uhusiano wa moja kwa moja na Imani. Unaweza ukahadithiwa hadithi fulani ila ikabaki kama fundisho au knowhow za maisha ya kale yalikuweje ili na sisi tisijikwae kwa waliyoyapia wenzetu waliopita bas ikaishia hapo. Ila unaposema kuhusu Imani unamaanisha sense yenye uhusiano wa ndani kabisa kwenye roho yako..yaan ni sense inayoingia ndani na kubadilisha kabisa mtazamo, fikra na maamuzi yako.
Kwa hyo nadhan si vyema kutumia neno hadithi ktk ulingano na Imani. Bora utumie neno mafundisho.

Pili: Ndiomana nikakwambia wewe umeathirika ama unafanya makusudi kulazimisha kila case ipatiwe majibu,kwa namna ya visible world. Huwezi sema kwa sababu hatuwezi,thibitisha uwepo wa roho kwa namna ya mwili (visible world) basi hyo,roho haipo. LABDA NIKUULIZE Hivi UNATOWA WAPI GROUND YA KUHALALISHA HILI..??

Tatu: Ndio ninaamini roho ipo maana inathibitika ktk Ulimwengu wa roho. Narudia tena na ww kama unanielewa naomba uelewe hivi MAMBO YA ROHO huthibitishwa kwa namna ya roho aidha mambo ya mwili nayo huthibitishwa kwa namna ya mwili. Ila kumbuka Roho ndio ina-drive Mwili but NOT the other way round. We can put it this way..Flesh including all its operations are SLAVEs to SpiritialPowers here known as A MASTER
 
Tatu: Ndio ninaamini roho ipo maana inathibitika ktk Ulimwengu wa roho. Narudia tena na ww kama unanielewa naomba uelewe hivi MAMBO YA ROHO huthibitishwa kwa namna ya roho aidha mambo ya mwili nayo huthibitishwa kwa namna ya mwili. Ila kumbuka Roho ndio ina-drive Mwili but the other way round. We can put it this way..Flesh including all its operations are SLAVEs to SpiritialPowers here known as A MASTER
Swali dogo sana hujalijibu.

Unasema unaamini roho ipo na imani hii haithibitishiki kimwili ila ni mambo ya roho.

Hujanieleza kinachokufanya ukubali roho ipo ni kipi na unajuaje kwamba habari za roho si hadithi tu?

Nikikwambia mimi hapa Kiranga ninayeandika ni bilionea Bill Gates wa Marekani, na hilo ni jambobla roho halithibitishiki kimwili, utaamini?
 
Kwanza naomba utambue kuwa huo mfano wako sio relevant na hoja iliyopo mezani. Huu mfano wako ni wa kimazingira na hauingii katika mjadala husika ambao unahusu roho.

Ninachosema ni hiki Roho kama nilivodefine hapo kabla kuwa ni operational powers hvyo hapa tunamaanisha Nguvu zinazofanya kazi,kwa namna isiyotambulikana kwa njia ya mwili. Mfano wako wa Bil Gate hauhusiani na roho hata kidogo hizo ndio tunaita hadithi au speculation za kimazingira na hili ni somo jingine ambalo halihusiani na roho hata kidogo bali ni Situational-Speculation. Hili tutalizungumzia badae au siku nyngne.

Sasa basi kinachonifanya nikubali roho ipo ni haya yafuatayo...
1) nimethibitisha kwa namna ya mafunuo ya kiimani ambayo kama wew si wa roho huwezi yajua wala kuyafaham hadi uamini juu ya mafunuo haya then upractice.
2) kama nilivosema hizi ni operational power hvyo ukitaka ujue ni powerfull kweli, bas huna budi kuzitest kwa namna ya roho hyohyo -- ambapo baada ya kufanya test unaona zinaconqure beyond resonable doubt
 
Nikikwambia habari ya kuwapo roho ni uongo kama habari ya mimi kusema mimi ni Bill Gates bilionea wa Marekani, utaweza kukanusha hilo vipi kwa uthibitisho usiopingika kimantiki?

Ukisema habari za imani tu, kwamba hizi ni habari za kiroho zisizothibitishika kimwili, hata mimi naweza kukuambia mimi ni Bill Gates, hii ni habari ya kiroho isiyothibitishika kimwili.

Sasa tutajuaje roho ipo kama muongo yeyote anaweza kutunga uongo wowote na kusema hii ni habari ya kiroho isiyothibitishika kimwili?

Huwezi kuthibitisha roho ipo.

Kwa sababu haipo.

Ndiyo maana unaleta habari za haya ni mambo ya kiroho hayawezi kuthibitika kimwili.

Huwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Kwa sababu hayupo.

Kama unabisha. Thibitisha.
 
Ukiona hivyo ujue wazazi wao ndiyo wanatabia hizo chafu...

Watoto huona na kuiga tabia za wazazi au watu wanaowazunguka...

Cc: mahondaw
 
Nikikwambia habari ya kuwapo roho ni uongo kama habari ya mimi kusema mimi ni Bill Gates bilionea wa Marekani, utaweza kukanusha hilo vipi kwa uthibitisho usiopingika kimantiki?

Ukisema habari za imani tu, kwamba hizi ni habari za kiroho zisizothibitishika kimwili, hata mimi naweza kukuambia mimi ni Bill Gates, hii ni habari ya kiroho isiyothibitishika kimwili.

Sasa tutajuaje roho ipo kama muongo yeyote anaweza kutunga uongo wowote na kusema hii ni habari ya kiroho isiyothibitishika kimwili?

Huwezi kuthibitisha roho ipo.

Kwa sababu haipo.

Ndiyo maana unaleta habari za haya ni mambo ya kiroho hayawezi kuthibitika kimwili.

Huwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Kwa sababu hayupo.

Kama unabisha. Thibitisha.
Kiranga kama huna hoja usiendelee kuuliza maswali yanayojirudiarudia ili hali nimeshayajibu..
Nakusihi uache ubishi usio na hoja maana uungwana nikukubali pale unaposhindwa ..acha kurudia maswali yaleyale

Majibu:
Nimeshakwambia na nimekujibu kuwa mfano wako wa BilGate na Roho sio relevant, soma post ya nyuma hapo nimetoa maelezo ya kutosha. Acha kujidai unauliza swali lilelile wakat limeshajibiwa tena kwa ufasaha.

Pili: Nimeshakueleza kuwa haiwezekani Uthibitisho wa roho ufanyike kwa namna ya kimwili- nimeshakujibu kuwa hilo haliwezekani, acha kupoteza muda wakat nimeshakujibu vyema post za nyuma hapo.

Tatu: Bado unaendeleza hoja zako MFU ambazo nmekuasa kuwa usilazimishe masuala ya roho yajibike kwa namna ya mwili. Narudia tena hii haiwezekan maana ni CODE mbili tofauti na kila moja ina system yake ya operation. Tafadhal kuwa muungwana na usirudie tena hii swali

Nne: Unaendeza hoja ya kipuuzi ambayo nimeshakujibu hapo awali kabsa ktk post yangu, kuwa et kwa sababu Mungu hatuwez mthibitisha bas hayupo..hapa nakuuliza WEWE UNATAKA TUMDHIBITISHE KWA NJIA GANI ?? au ndio hyo ya mwili yaan through 5/6 Organs za Mwili..?? hili swali nimeshkujibu ila unarudia maswali yako uliyokaririshwa. Majibu ni kuwa huwezi mthibitisha Mungu kwa vigezo UNAVOVITENGENEZA WEWE MWENYEWE..(tena vya kimwili) . Mungu ana vigezo vyake vya kumthibitisha na wala usilazimishe hvyo vyako ndio kipimo ++ hapa nakuuliza tena UNAPATA WAPI EVIDENCE YA KUSEMA HVO VPMO VYAKO NDIO SAHIHI..??

MWISHO:
Kuna hoja moja tu ya msingi,ambayo umeuliza nayo ni hii nanukuu "Sasa tutajuaje roho ipo kama muongo yeyote anaweza kutunga uongo wowote na kusema hii ni habari ya kiroho isiyothibitishika kimwili?"

MAJIBU;
ILI UWEZE KUFANYA UTOFAUTI KUWA HII NI SUALA LA 1) KIROHO 2) KiMWILI au 3) Kimazingira basi unatakiwa uyafahamu kwa maarifa kuhusu haya yoote matatu kwa uzuri kabisa ili linapokuja lolote lile unaliingiza ktk uchambuzi wa kina.
Sasa kwa wale wanaoamini roho basi hujua CODEs zinazotumika kunyumbua alama za kiroho aidha la kimwili nalo lina CODEs zake za jinsi ya kulitambua vile

***----*****----****-----****-----*****---*****----**
Ningekuona ni muungwana kama ungeendeleza hoja kwa maswali mengne mapya badala ya kurudiarudia.
 
kusemwa yeye ni malaika si ukweli wa uhalisia lkn ni tafsiri kwani mtoto anakuwa hajua hili wala lile hata hivyo mtoto wa nyoka ni nyoka
Kwahyo malaika huwa hawajui hili wala lile hadi wafanishwe na watoto?
 
Nikikwambia habari za roho kuwapo ni uongo tu usiothibitishika, na ndiyo maana walioutunga wameuwekea kikwazo cha kuhojiwa, kwa kusema roho haithibitishiki kimwili, wameweka uongo huo kulinda habari za roho kuwapo, kwa sababu haipo, utasemaje?
 
Last edited:
Nikikwambia habari za roho kuwapo ni uongo tu usiothibitishika, na ndiyo maana walioutunga wameuwekea kikwazo cha kuhojiwa, kwa kusema roho haithibitishiki kimwili, wamewekauongo huo kulinda habari za rohokuwapo, kwa sababu haipo, utasemaje?
Mkuu Kiranga kwanini haujajibu swali langu kuhusu nyumba?
 
Back
Top Bottom