Certified Hater
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 1,760
- 3,733
hahahh ambazo kwako wewe ni nyingi sana au ndogo?Siwezi sema kama ni nyingi au ndogo....nachoweza sema akili zake zamtosha mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahh ambazo kwako wewe ni nyingi sana au ndogo?Siwezi sema kama ni nyingi au ndogo....nachoweza sema akili zake zamtosha mwenyewe
Ni maswali ya kweli kabisa. Kwa sababu anauliza swali ambalo nishalijibu, tena katika majibizano yetu haya ya saa hizi.Haifai
Swali chochezi hilihahahh ambazo kwako wewe ni nyingi sana au ndogo?
Ni maswali ya kweli kabisa. Kwa sababu anauliza swali ambalo nishalijibu, tena katika majibizano yetu haya ya saa hizi.
Sasa anauliza kwa sababu ni mjinga sana hajaelewa nishamjibu? Au msahaulifu sana mara hii kasahau? Au anakumbuka na kaelewa ila anajifaragua tu?
Baaasi baaasiSwali chochezi hili
Aaah nashangaa tu mambo ya wanadamu
Hapana. Unaweza kumwambia ukichukulia hajaona. Kumbe kaona anajifaragua tu.kumwambia tu page no flani au post no flani ingetosha sana.. Muendelee tunawasoma Bado
Kwanini nikujibubswali moja zaidi ya mara moja?
Wewe una kumbukumbu fupi hivyo umesahau?
Ni mjinga sana huelewi?
Au unajifaragua tu?
Hapana. Unaweza kumwambia ukichukulia hajaona. Kumbe kaona anajifaragua tu.
Ndiyo maana sijasema "wewe mjinga" tu.
Nimeuliza.
Mjinga sana hujaelewa?
Msahaulifu sana ushasahau?
Au umesoma na kuelewa ila unajifaragua tu?
Huyu inayumkinika kujifaragua.
Nimemuuliza athibitishe Mungu yupo mpaka sasa anajifaragua.
Ungekuwa muadilifu ungejibu swali langu la kuthibitisha Mungu yupo.Kaka mimi huwa najitahidi sana kumfanyia uadilifu kila mtu mpaka adui yangu,namaanisha siwezi kukudhulumu hata kwa maandishi haya. Ungekuwa umenijibu maswali yangu ningekwambia umenijibu lakini umejibu wali moja tu kuhusu kupatwa wa mwezi na nilikwambia kwamba umejibu swali hilo.
Bado una deni mzee...!!
Ungejua kuweka kila kitu mahala pake, ungetuwekea link ya post ulipothibitisha Mungu yupo hapa.Jifunze kuweka kila kitu mahala pake bro !
Sawa kabisa,nami nafanya hivyo ila sifa na utukufu namrudishia yeye bwana wa mabwana maana nauona mkono wa bwana kupitia mtoto huyu.OOOO PRAISE THE LORD!!!Mlee vema na kumuombea ili Mungu amtunze na kuzidi kumpa moyo huo halisi wa Mungu mwenyewe
wasalaam wakuu,kwenye jamii yetu tumeaminishwa kuwa watoto ni Malaika hawana dhambi wala hatia yoyote(hata mimi nakubali hili).sasa mimi nauliza kama kweli watoto ni Malaika kwa nini wana roho mbaya na tabia za ovyo?Mfano unakuta mtoto wa miaka chini ya miwili ni mchoyo na mbinafsi yaani kitu chake hatoi kabisa,watoto wengine wana wivu kama wanawake kwa mfano ulimweka chini na kubeba mwingine yeye anaumia na kuanza kulia(hapa nazungumzia wale wa chini ya miaka miwili,tabia nyingine ni ukorofi,matusi(nimeshuhudia mtoto wa chini ya miaka 2 anatukana),na tabia kubwa ni kiburi na dharau.naomba kujuzwa au shetani anawapa mafunzo ya uovu huko tumboni kwa mama zao tabia hizi nimezifanyia uchunguzi.Nawasilisha
%by Sir Khan.born 2 win%
Mkuu Kiranga,nakuuliza swali hivi ukienda msituni ukaona nyumba imejengwa vizuri sana ina mfumo wa maji mzuri,mfumo wa umeme mzuri,kuna cctv camera na kuna mfumo wa choo mzuri tu halafu ukaambiwa hii nyumba haikujengwa ila imetokea tu,utakubali au utakataa?.ukijibu vyema tutaendeleaKuna mtu kathibitisha Mungu yupo?
Au longolongo za kila siku tu zinaendelea?
Kiranga unatakaga umuone Mungu wakati Akili zenyewe huna.Hujanijua vizuri bado.
Sio tu siamini, sitaki kuamini, nataka kujua.
Tafadhali usinishushe ngazi na kunipeleka kituo kisicho changu.
Kumuona Mungu ni mpaka uwe na akili?Kiranga unatakaga umuone Mungu wakati Akili zenyewe huna.
Kama una Akili utamjua Mungu, ila kama hauna hautamuona.Kumuona Mungu ni mpaka uwe na akili?
Akili ni nini?
Kwanini Mungu awe mbaguzi kwa wenye akili na wasio na akili?Kama una Akili utamjua Mungu, ila kama hauna hautamuona.