Kama watoto ni Malaika kwa nini wana roho mbaya na tabia chafu

Kaka una deni la swali langu. "WEWE UKILA HUWA UNATUMIA MKONO GANI ?"
Kwanza thibitisha Mungu yupo.

Mimi nikianza kukuuliza hili swali kitambo sana.

Hujalijibu.

Pia, swali lako ni la kivivu. Unauliza mkono gani kama vile ni lazima kula kwa mkono fulani.

Ni swali la uvivu wa fikra na ujinga wa tamaduni.
 
Kaka elimu ya ada na desturi kadhalika tamaduni naijua vyema na nina jua wapi niitumie na wapi nisi itumie.

Swali langu,kama ungekuwa unafikiri kwa umakini bia shaka ungetanabahi.
 
Hujathibitisha Mungu yupo.

Huwezi kuthibitisha.

Kwa sababu hayupo.
 
Kwanza thibitisha Mungu yupo.

Mimi nikianza kukuuliza hili swali kitambo sana.

Hujalijibu.

Pia, swali lako ni la kivivu. Unauliza mkono gani kama vile ni lazima kula kwa mkono fulani.

Ni swali la uvivu wa fikra na ujinga wa tamaduni.

Unajua nyinyi watu huwa nawafanisha na mpambaji/mrembaji mmoja aliyekusudia kumremba binti macho,mwishowe akamtia chongo.

Nyinyi huwa mnafikiri mnatengeneza kumbe mnaharibu.
 
Unajua nyinyi watu huwa nawafanisha na mpambaji/mrembaji mmoja aliyekusudia kumremba binti macho,mwishowe akamtia chongo.

Nyinyi huwa mnafikiri mnatengeneza kumbe mnaharibu.
Hujathibitisha Mungu yupo.
 
Tarehe 27 July kulipatwa na mwezi,wewe katika tukio hili ulijifunza nini au wakubwazako walikupa muingozo gani au sayansi inasemaje ?
Sikujifunza lolote. Hayo ni mambo niliyomaliza kuyasoma nikiwa na miaka 14.

Thibitisha Mungu yupo.
 
Weka link hapa. Wapi. Tujadili.

Hujathibitisha Mungu yupo.

Huwezi.

Kwa sababu hayupo.

Kaka ungekuwa umejipamba au kupambika na sifa tatu hizi :

1. Ungekuwa unajibu maswali unayoulizwa

2. Ungekuwa una uliza maswali ya kweli wal sio maswali ya uongo

3. Ungekuwa unasoma hoja ukazielewa kwanza kabla ya kuchangia chochote

Bila shaka ungekuwa pazuri sana kifikra,maarifa na kielimu.
 
Sikujifunza lolote. Hayo ni mambo niliyomaliza kuyasoma nikiwa na miaka 14.

Thibitisha Mungu yupo.

Hapa sasa ndio umejibu swali sio kule nyuma ulikuwa unaogopa ogopa.

Sasa embu nijibu kale ka swali kangu " WEWE UKIWA UNAKULA UNATUMIA MKONO GANI ?"
 
Kaka ungekuwa umejipamba au kupambika na sifa tatu hizi :

1. Ungekuwa unajibu maswali unayoulizwa

2. Ungekuwa una uliza maswali ya kweli wal sio maswali ya uongo

3. Ungekuwa unasoma hoja ukazielewa kwanza kabla ya kuchangia chochote

Bila shaka ungekuwa pazuri sana kifikra,maarifa na kielimu.
Kabla sijafika mbali, kwenye namba moja hapo, kujibu maswali u ayoulizwa, labda ungeanza kwa kuonesha mfano kujibu swali langu la siku nyingi.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo? Thibitisha.

Hujathibitisha.

Ukiniambia nijibu maswali ninayoulizwa, lakini wewe hujibu, unakuwa mnafiki kama wale ma Shehe wanaosema "fuatisha ninachosema, si ninachofanya".

Wewe ni mnafiki.

Back
Top Bottom