D
Deleted member 485868
Guest
Kaka acha kuwa na wasi wasi na kuwa na dhana,unapoulizwa swali jibu swali sio unaleta dibaji.
Kama utakuwa una kumbukumbu nilishawahi kukwambia hivi " Kutokana na mtiririko wako wa ujengaji hoja na mitazamo yako,huwa najua kifuatacho utasema nini,japokuwa sio neno kwa neno bali hata kwa maana huwa sikukosi". Sasa inabidi ujitathmini mara mbili mbili mzee.
Sio kwamba nina uwezo wa kujua yajayo la ! la ! bali fikra zako nyepesi kiasi hicho. Mfano wako wewe ni mfano wa mtoto mdogo ambaye nikimpa shilingi 50 ya kitanzania,najua ataenda kununua nini,kabla hajaenda kununua.
Kaka ukiukizwa swali jifunze kujibu swali. Nakuuliza tena "WEWE UKILA HUWA UNATUMIA MKONO GANI ?"
Hivi unakumbuka mtoa mada anazungumzia nini ?
Unaakili??
AiseeKaka una deni la swali langu. "WEWE UKILA HUWA UNATUMIA MKONO GANI ?"