Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
"Yote" ni mkono?Tatizo muoga sana kaka,jibu swali. Ukiwa unakula huwa unatumia mkono gani ? Kama unatumia yote wewe jibu. Ila si unajua hata Birika pia lina mkono ila sio kama mkono wako ? Tafakari kidogo juu ya kauli yangu utahisi au utaona ishara japo kwa mbali kwanini nimekuuliza swali hili dogo.
Nataka nikufundishe jinsi ya kufikiri vile unavyooaswa ufikiri.
Unajua wingi na umoja wa mkono katika Kiswahili?