HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Hapa napo Waafrika wameshindwa kabisa kujiongeza kabisa ili kufahamu ukweli wa chanzo au asili ya MTU.
HILI swali jibu lake huwa ni simple sana kama watu,kuku,miti,samaki,mbwa,simba,nk wapo na kila mmoja ana maajabu yake inamaana kuna nguvu iliyosababisha wawepo ambayo ni MUNGU.
Tatizo watu wamejipa uspecial mkubwa na kujizungumzia wao tu juu ya uumbwaji wao kupitia adam na hawa wanasahau kuwa kuna viumbe wengine pia waliumbwa kwa nguvu ile ile kama yao.
Je, Waafrika wamewahi kujiuliza mbwa,kuku,bata,nyoka,kenge,nk pia wanatokana na adam na hawa ??
Kama siyo je wametokana na nini??