ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,787
- 131,638
Mkuu, wote tunaanzia chini. Kuna watu wanaanza na mtaji wa 50k na wanatoboa.Tatizo mtaji, mwalimu ws level ya degree anaanza na mshahara take home 620k-670k

Wew ndo mgeni wa Jiji, mtumishi yeyote anapata issue inakuaja jee una connection?Walimu na watumishi wa halmashauri ni miongoni mwa wafanyakazi wa serikali wenye hali ngumu sana.
Ila nimejionea watumishi wa halmashauri wakisema kuwa huwa kuna mpango wanapewa mikopo isiyo na riba (mkopo wa hazina)
Hoja yangu kama kuna huo mpango basi serikali iwakumbuke na walimu pia.
Hawa ndugu zetu walimu hawana posho kabisa kama watumishi wengine wa serikali na hawana cha kuiba kazini. Kwa hiyo kwao kula kwa urefu wa kamba haiwezekani.
Serikali iwaonee huruma angalau wawe kwenye huu mpango itawapunguzia kwa sehemu kubwa makali ya maisha maana mikopo ya riba inawatesa sana.
Kwa wanaofahamu zaidi kuhusu mpango huu karibuni kuchangia.
Je, fungu hilo huwa ni kwa halmashauri zote?
Na fungu hilo hutoka wapi?
Na je, linawalenga tu walioko ofisini halmashauri au wafanyakazi wote walio chini ya halmashauri husika?
Wew ndo mgeni wa Jiji, mtumishi yeyote anapata issue inakuaja jee una connection?
.
Kwa wanaofahamu zaidi kuhusu mpango huu karibuni kuchangia.
Je, fungu hilo huwa ni kwa halmashauri zote?
Na fungu hilo hutoka wapi?
Na je, linawalenga tu walioko ofisini halmashauri au wafanyakazi wote walio chini ya halmashauri husika?
Hao wote ni watumishi wa Halmashauri na wanapata wote kukingana na sifa zao. Kwa kuwa ni wengi sana huwezi tambua lkn tangazo hutoka kwa wote na wenye sifa huomba
Hakuna lawama ni mtazamo wako tuKama hujui hao yote uliyouliza, imekuwaje uanze kwa kulaumu?
Connection ni taarifa, na walimu wanazo hizi taarifa. Ni wewe tu ndio haunazoMpaka connection tena? Basi walimu wataendelea kusugua benchi sana ndio maana mikopo inaishia kwa watumishi walioko ofisi za halmashauri tu
Hapa ulikuwa unafanya nini?Hakuna lawama ni mtazamo wako tu
Kama watumishi wa Halmashauri wanapewa mikopo isiyo na riba, kwanini watumishi wengine wenye hali ngumu kama walimu wasiwekwe kwenye mpango huo?
Connection ni taarifa, na walimu wanazo hizi taarifa. Ni wewe tu ndio haunazo
Hapa ulikuwa unafanya nini?
Ni uamuzi, huwezi kumchagulia mtu afanye maamuzi unayotaka weweKama walimu mna taarifa hizo kwa nini mnakopa sana mikopo ya kausha damu na yenye riba kubwa?
Umesema kwa nini wasiwekwe kwenye mpango huo, wakati kila mtumishi wa umma yupo kwenye huo mpangoNimekosea kusema walimu wana hali ngumu mkuu? Tazama maisha ya walimu wengi wa hapa Tanzania utanipa jibu
Ni uamuzi, huwezi kumchagulia mtu afanye maamuzi unayotaka wewe
Umesema kwa nini wasiwekwe kwenye mpango huo, wakati kila mtumishi wa umma yupo kwenye huo mpango
Kuna mashule maeneo ya vijijini yaani kuanzia asubuhi hadi jion saa 11 mwalimu yuko shule na wanafunzi alafu shule ina walimu 7 tuWalimu wanamenyeka zaidi, kuna wengine mijini wana remedials
Na vijijini huko madogo wanapiga kambi wanapigiwa mapindi hadi usiku
Usifananishe kazi ya kulea watoto na desk jobs mzee.Walimu wanamaliza vipind saa 8 mchana
Iseee nchi ngumu hiina hawana cha kuiba kazini.
Kwani walimu sio watumishi wa halmashauriWalimu na watumishi wa halmashauri ni miongoni mwa wafanyakazi wa serikali wenye hali ngumu sana.
Ila nimejionea watumishi wa halmashauri wakisema kuwa huwa kuna mpango wanapewa mikopo isiyo na riba (mkopo wa hazina)
Hoja yangu kama kuna huo mpango basi serikali iwakumbuke na walimu pia.
Hawa ndugu zetu walimu hawana posho kabisa kama watumishi wengine wa serikali na hawana cha kuiba kazini. Kwa hiyo kwao kula kwa urefu wa kamba haiwezekani.
Serikali iwaonee huruma angalau wawe kwenye huu mpango itawapunguzia kwa sehemu kubwa makali ya maisha maana mikopo ya riba inawatesa sana.
Kwa wanaofahamu zaidi kuhusu mpango huu karibuni kuchangia.
Je, fungu hilo huwa ni kwa halmashauri zote?
Na fungu hilo hutoka wapi?
Na je, linawalenga tu walioko ofisini halmashauri au wafanyakazi wote walio chini ya halmashauri husika?
Walimu na watumishi wa halmashauri ni miongoni mwa wafanyakazi wa serikali wenye hali ngumu sana.
Ila nimejionea watumishi wa halmashauri wakisema kuwa huwa kuna mpango wanapewa mikopo isiyo na riba (mkopo wa hazina)
Hoja yangu kama kuna huo mpango basi serikali iwakumbuke na walimu pia.
Hawa ndugu zetu walimu hawana posho kabisa kama watumishi wengine wa serikali na hawana cha kuiba kazini. Kwa hiyo kwao kula kwa urefu wa kamba haiwezekani.
Serikali iwaonee huruma angalau wawe kwenye huu mpango itawapunguzia kwa sehemu kubwa makali ya maisha maana mikopo ya riba inawatesa sana.
Kwa wanaofahamu zaidi kuhusu mpango huu karibuni kuchangia.
Je, fungu hilo huwa ni kwa halmashauri zote?
Na fungu hilo hutoka wapi?
Na je, linawalenga tu walioko ofisini halmashauri au wafanyakazi wote walio chini ya halmashauri hus
Taarifa hutolewa kwa wote, na mkopo wa hazina ni haki ya watumishi wote wakiwemo walimuSijajua nini kimekupanikisha mwalimu mpaka kunitukana? Huo uzi ni sehemu yangu ya utafiti kama umesoma vizuri maswali niliyouliza mwishoni yanaonyesha hilo
Labda niulize kwa nini walimu wengi hawafahamu kuhusu huo mkopo wa hazina?
Kwa sababu mimi nimewasikia tu watumishi wa halmashauri wakizungumzia kuuhusu