Kama waziri alimtongoza demu wa Diamond kisha kumtaka atunge wimbo wakuisifia serikali; wasanii wengine wanapitia madhila kiasi gani?

wanawake Wote humu duniani ni kutongozwa tu kwenda mbele na Hilo wanalijua vema. Huyo diamond kusema kwamba “ demu wake” demu wake kivipi? Yeye alimtongoza mpaka huyo demu akasahau pichu yake aliweeka wapi, baada ya hapo yakaja mazungumzo baada ya habari… waziri Kama mwamaume mwingine yeyote Yule Alana na sounds zake akamwimbisha na kutoa ukakasi wake demu akaingia kingi sasa ya nini diamond ayasema mambo ya mwanaume mwingine ili hali kabla yake njemba Nyingine pia zilijaribu sounds zao? Je na njemba Nyingine pia zilalamike au ? Na inakuaje mtu mwanaume kusema “ demu Wangu” maana yake haswa ni nini? Hivi ni kweli kwamba binadamu ni commodity na anaweza kumilikiwa kama gari, nyumba au Mali? Kama ni hivyo mbona huko kwenye milathi huwa hawasemi hii ni Mali yangu? Diamond na wengine nendeni darasani… hakuna kitu kama hicho “ demu wangu”…ni upuuzi mtupu kusema sentensi Kama hizi…
 
Si kweli kwamba kutongoza /kutongozwa ni unyanyasaji.
Kutongoza ni kuomba. Anayeombwa ana hiyari kukataa au kukubali.
Unapokubali huwezi kusema umenyanyaswa
Diamond atulie, maana demu wake hakubakwa
 
Waziri Mhusika na Diamond wote wako ccm , mashitaka hayo wampelekee kinana
 
Waziri hana makosa .. moja ni binadamu wa kiume kutongoza ni kawaida ... Mbili ni demu sio mke ..mke ana heshima yake .. demu ni wa yeyote mwenye kumuelewa mpaka akiwa kwenye ndoa .. songombingo ni kwamba vijana wanawapa hadhi ya mke hao mademu
 
Kwani katongozewa mke wake?
Wake za watu tu wanatongozwa iwe hicho kicheche?
Kwani diamond ana mabibi wangapi?
Wote si walikua mademu wa watu hapo mbeleni? Dogo Hana content.
Kwanza mbona anashindwa kumtaja huyo waziri wa nishati? Ukumbukwe kipindi Cha mond na Wema kipara alikua hajapewa hiyo wizara.
 
Nishati na madini Ngosha himself, hata hivyo interview ni ya zamani sana, Diamond anaona kama alinyanyaswa yeye na si kwamba Wema alinyanyaswa.

Ajabu ni kuwa yeye amegeuka wale wale.
Na lile somo la Wema ndilo lilimfanya Mondi awe womaniser hadi leo,maana pale kwa Wema Mondi ali fall in real love, lakini Sepenga yeye.kipindi hicho ndiyo nae yuko hot kila mwanaume anatak apate japo kipande kidogo ch cake kutoka kwa Wema!!
 
Dem gani huyo?
 
Teteeni mambo yenye akili
Kutongoza na kutongozwa ni haki ya mtu bila kujali cheo chake
Kukubali au kukataa pia ni maamuzi ya mtu
Ni watu wazima wenye akili timamu sheria haijavunjwa ni sawa
Kunyanyasika hapo kunatokea wapi sasa

Mi watu mizima yenye akili timamu inapoamua kuziweka tamaa zao mbele nyie inawauma wapi na sheria gani imevunjwa
Wangekuwa wana haki na kuona wamenyanyaswa wangeenda kushtaki lakini kulalamika tu hovyo ni kwamba hawana hoja mbele ya sheria
Maadili yao yakienda poa huko hutowasikia popote ni maisha waliochagua
 
Mkuu we acha tu, tena mwanamke akiwa ni mzuri mzuri , ukiona amefikia mafanikio jua nyuma hipo history ya kutisha
 
Kutongozwa KE ni kama maji na viumbe hai....haikwepeki. issue ni kukubali au kukataa tongozo....
 
Kwanza tuanze na ile kofia ya kijani aliyovalishwa Diamond na jiwe la pembeni, alitongozwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…