S.M.P2503
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 2,421
- 4,344
wanawake Wote humu duniani ni kutongozwa tu kwenda mbele na Hilo wanalijua vema. Huyo diamond kusema kwamba “ demu wake” demu wake kivipi? Yeye alimtongoza mpaka huyo demu akasahau pichu yake aliweeka wapi, baada ya hapo yakaja mazungumzo baada ya habari… waziri Kama mwamaume mwingine yeyote Yule Alana na sounds zake akamwimbisha na kutoa ukakasi wake demu akaingia kingi sasa ya nini diamond ayasema mambo ya mwanaume mwingine ili hali kabla yake njemba Nyingine pia zilijaribu sounds zao? Je na njemba Nyingine pia zilalamike au ? Na inakuaje mtu mwanaume kusema “ demu Wangu” maana yake haswa ni nini? Hivi ni kweli kwamba binadamu ni commodity na anaweza kumilikiwa kama gari, nyumba au Mali? Kama ni hivyo mbona huko kwenye milathi huwa hawasemi hii ni Mali yangu? Diamond na wengine nendeni darasani… hakuna kitu kama hicho “ demu wangu”…ni upuuzi mtupu kusema sentensi Kama hizi…