Kama waziri alimtongoza demu wa Diamond kisha kumtaka atunge wimbo wakuisifia serikali; wasanii wengine wanapitia madhila kiasi gani?

Natafakari kwanini wasanii wetu wanapopata changamoto au mafanikio ushindwa kuyasimamia badala yake utafuta wanasiasa wawalinde.

Diamond anasema demu wake alitongozwa na waziri na kisha waziri huyo huyo anawalipa wamfisie yeye na wizara yake. Na hata baada ya kubainika kuwa huyo waziri alitumia madaraka vibaya hakuna aliyemchukulia hatua.

Je, wasanii wengine na watangazaji tunaowaona wanajipendekeza kwa wanasiasa wanapitia madhila makubwa kiasi gani? Ni lini watapata forum yakueleza wanayofanyiwa hadi kukubali kuwa chawa?

Unyanyasaji huu utaendelea hadi lini? Unamwona mtu ana umaarufu kumbe kuna mapito magumu anapitishwa na wafanyabiashara au wanasiasa......

Tuanze kuwafariji chawa kuliko kuwaponda; wanafanyiwa ukatili mkubwa sana na kwakuwa wanataka pesa inabidi wawe wavumilivu.
... kwa bongo suala la mdada kutumia mbususu kwa manufaa yake sio "madhila makubwa" sababu hashikiwi kisu wala mtutu isitoshe ni 18+ taratibu zote anazijua.
 
Kama Diamond anaweza kutongozewa demu wake na waziri tu basi hana Umaarufu wowote [emoji23][emoji23]
Mke wa Rais wa Ufaransa Sarcozy aliliwa na Muhuni kwny hotel ambayo Mkutano wa Wababe wa Dunia G5 ulikuwa unaendelea pamoja na Ulinzi wote wa Dunia kuwepo pale lakini kuna Khabith bin Firaun alizama akala Mzigo

Vivyo hivyo kwa Mke wa Mtoto wa Malkia Princes Diana aliangukia kwa Kijana mwenye asili ya Misri hadi akapelekea vifo vyao

Waziri husika anaetajwa na Nassib alikuwa Waziri wa Nishati wakati huo alietokea Vodacom Tanzania
 
Natafakari kwanini wasanii wetu wanapopata changamoto au mafanikio ushindwa kuyasimamia badala yake utafuta wanasiasa wawalinde.

Diamond anasema demu wake alitongozwa na waziri na kisha waziri huyo huyo anawalipa wamfisie yeye na wizara yake. Na hata baada ya kubainika kuwa huyo waziri alitumia madaraka vibaya hakuna aliyemchukulia hatua.

Je, wasanii wengine na watangazaji tunaowaona wanajipendekeza kwa wanasiasa wanapitia madhila makubwa kiasi gani? Ni lini watapata forum yakueleza wanayofanyiwa hadi kukubali kuwa chawa?

Unyanyasaji huu utaendelea hadi lini? Unamwona mtu ana umaarufu kumbe kuna mapito magumu anapitishwa na wafanyabiashara au wanasiasa......

Tuanze kuwafariji chawa kuliko kuwaponda; wanafanyiwa ukatili mkubwa sana na kwakuwa wanataka pesa inabidi wawe wavumilivu.
Waziri ni Taasisi lakini haimaniishi kuwa kila wakati anaishi utaasisi Kuna maisha nje ya Taasisi,je hili nalo ulilitizama au unataka kutuaminisha sisi sote juu ya kile unachokiamini wewe Kama wewe?
Habari lazma iwe balanced la sivyo utaitwa chawa au una roho mbaya ya kimaskini.
 
Na lile somo la Wema ndilo lilimfanya Mondi awe womaniser hadi leo,maana pale kwa Wema Mondi ali fall in real love, lakini Sepenga yeye.kipindi hicho ndiyo nae yuko hot kila mwanaume anatak apate japo kipande kidogo ch cake kutoka kwa Wema!!
Sasa hivi wema hayuko hot?
 
Natafakari kwanini wasanii wetu wanapopata changamoto au mafanikio ushindwa kuyasimamia badala yake utafuta wanasiasa wawalinde.

Diamond anasema demu wake alitongozwa na waziri na kisha waziri huyo huyo anawalipa wamfisie yeye na wizara yake. Na hata baada ya kubainika kuwa huyo waziri alitumia madaraka vibaya hakuna aliyemchukulia hatua.

Je, wasanii wengine na watangazaji tunaowaona wanajipendekeza kwa wanasiasa wanapitia madhila makubwa kiasi gani? Ni lini watapata forum yakueleza wanayofanyiwa hadi kukubali kuwa chawa?

Unyanyasaji huu utaendelea hadi lini? Unamwona mtu ana umaarufu kumbe kuna mapito magumu anapitishwa na wafanyabiashara au wanasiasa......

Tuanze kuwafariji chawa kuliko kuwaponda; wanafanyiwa ukatili mkubwa sana na kwakuwa wanataka pesa inabidi wawe wavumilivu.

Siku zote usipojitambua na kutanguliza mbele pesa au vitu kuliko utu lazima watakutumia vibaya. Waswahili walisema fedha fedheha. Waache hao ma(chawa) maana ndiyo maisha waliochagua.
 
Natafakari kwanini wasanii wetu wanapopata changamoto au mafanikio ushindwa kuyasimamia badala yake utafuta wanasiasa wawalinde.

Diamond anasema demu wake alitongozwa na waziri na kisha waziri huyo huyo anawalipa wamfisie yeye na wizara yake. Na hata baada ya kubainika kuwa huyo waziri alitumia madaraka vibaya hakuna aliyemchukulia hatua.

Je, wasanii wengine na watangazaji tunaowaona wanajipendekeza kwa wanasiasa wanapitia madhila makubwa kiasi gani? Ni lini watapata forum yakueleza wanayofanyiwa hadi kukubali kuwa chawa?

Unyanyasaji huu utaendelea hadi lini? Unamwona mtu ana umaarufu kumbe kuna mapito magumu anapitishwa na wafanyabiashara au wanasiasa......

Tuanze kuwafariji chawa kuliko kuwaponda; wanafanyiwa ukatili mkubwa sana na kwakuwa wanataka pesa inabidi wawe wavumilivu.
Huyo Waziri alitakiwa kwenda Mbele Kumuomba tako Diamond
Maana amezidi Sana Kujipendekeza Kwa Serikali na CCM
 
Alitaka atongozwe yeye?Kwani ni mke wake?Mpenzi wake ana haki ya kutongozwa kama wapenzi wengi wote.Yeye anapotongoza anatangaza?Elimu ni muhimu hata kama una pesa.
 
Diamond nae akili hamna kumbe, labda iwe kiki. Analalamikaje demu wake kutongozwa, shida ni nini, demu kutongozwa na waziri?
Ni dharau unapojua kua dada fulani ni "main girlfriend " wa mtu unaemfahamu kisha ukamtongoza. Bora km ulikua hujui nani anashikiria mchuma
 
Back
Top Bottom